moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,940
Habari wanabodi..
Kuna haya makampuni ya simu kama HALOTEL, airtel, tigo na vodacom pamoja na yote yaliyobakia.je yanaajiri vipi Hawa watu wa call centre's?
WENGINE wanasema hizi kampuni zime-outsource kampuni zingine kuajiri kwa niaba Yao mfano elolings na Kadhalika.
Naomba yeyote mwenye kujua jinsi ya kujiunga na hizi nafasi za call centre's kwenye haya makampuni anisaidie.