Soma taarifa kutoka kwenye source niliyokupatia. Soma maelezo acha ubishi. State inaweza kujitenga.
Soma hapo maelezo ya kujitenga.
Mkuu hiyo paragraph ya kwanza[emoji818] [emoji817]Tatizo la Trump baadhi ya Sera zake anaingizwa mkenge na Russia ili tutakuja kuliona baadae kabisa.......
Lakini yeye anajifanya mjuaji wa kila kitu.............
Kila kitu anachokifanya toka amekuwa Rais kinakuwa na negative impact kwa marekani na wamarekani sana kuliko positive impact..........
Mfano swala la migrants anajua kabisa kuwaondoa watu 11 milioni ambao ni immigrant itasababisha kuyumba kwa uchumi maana Matajiri wa marekani waliwatumia kuwafanyia kazi kwa malipo kidogo au wastani ukilinganisha na wazawa...........
Mfano kwenye mashamba ya mahindi kule kuna sehemu wakati wa mavuno mpaka wapatikane hawa watu walipwe ujira kidogo ndio wavune mazao.......
Anasahau pia kuwa wazawa sio wachapa kazi kama walivyo wageni wazawa siku zote uwa wanachagua kazi za kufanya na wengi usimamia mali za wazazi wao kama ilivyokuwa kwake......
Hawana exposure kama wageni wanavyo fight maisha tuwe wakweli hata huko Tanzania Dar es salaam ukiona walioijenga sio wazawa wa hapo either ni Wapemba,Wachaga au wahaya lakini wazawa kama Wazaramo wapo wapo tu kupigania Urithi na kufunga ndoa na viduku kila siku hawana exposure...........
Kichekesho ni kuwa hata yeye makampuni Yake yalikuwa yanaajiri immigrant kutoka hasa ulaya .......
Jamaa anachekesha kweli huyu
Sizani kama vyombo vya usalama vitakubali upuuzi huu.....
Siyo bure, huyu Donald Trump kuna jambo kubwa sana liko nyuma ya pazia ambalo hatulifahamu, sasa Jimbo kubwa na tajiri kabisa klk yote USA limeanza mchakato ya kujitenga na USA, sasa hivi wanakusanya saini za wakazi wa Jimbo hilo kama idaidi inayokubalika kisheria ikifikia basi kura ya maoni ya wana California itaitishwa ili kuamua kama wanataka kubaki USA au kujitenga, kisa na mkasa ni Donald Trump!
Tunaambiwa kwamba Raisi wa USA hana nguvu na madaraka makubwa, iweje mpaka wafikie hatua ya kufikiria kulitenganisha Jimbo kubwa na muhimu kama California kama waliweza tu kuzuia maamuzi yake?
'Calexit' can start collecting signatures
Ngoja tusubiri yapi yatatokea maana uchumi wa Caifonia ni zaidi ya Ufaransa.Wanajifariji tu hao kaka, Sheria ziko wazi kabisa, Union wakishindwa kabisa kuzuia states kujitenga kwa njia za kawaida, mtutu wa bunduki (Civil War) ndio utatumika kuwaunganisha hao wanaotaka kujitenga
Sawa umesoma vizuri. Kwahiyo maoni yako ni yapi? Je, mtutu wa bunduki waweza kutumika? Je, ukitumika yapi yatatokea?
Ngoja tusubiri yapi yatatokea maana uchumi wa Caifonia ni zaidi ya Ufaransa.
Janja yao tu ya kuficha aibu ya kushindwa na Trump. Hawaendi kokote. Jimbo ambalo linaweza kutoka kwa hiari ni Texas. Maana wao walijiunga kwa hiari. Hata nao pamoja na hayo hawana majigambo hayo. Miaka ya karibuni hata kabla ya uchaguzi wamarekani wengi wameonesha kulipenda Jimbo la Texas kutokana na uchumi mzuri, sifahamu kwa wakati huu.
Na mimi nashangaa hii "fake news"Habari ya Cal kutaka kujitenga sio ya leo tu na sio kwa sababu ya Donald Trump, ni issue ya miaka mingi tu na hata recently tu 2014, 2016 walishakuwa na haja ya kufanya hivyo
Sababu yao kubwa ni kuwa wao ni tajiri kuliko state yoyote na wanaweza kusimama wenyewe bila nguvu ya Union
We nae mnafiki kuna post moja umeandika rais wa marekani ana mamlaka makubwa saivi tena unaandika rais ana mamlaka madogo mbona ueleweki?Siyo bure, huyu Donald Trump kuna jambo kubwa sana liko nyuma ya pazia ambalo hatulifahamu, sasa Jimbo kubwa na tajiri kabisa klk yote USA limeanza mchakato ya kujitenga na USA, sasa hivi wanakusanya saini za wakazi wa Jimbo hilo kama idaidi inayokubalika kisheria ikifikia basi kura ya maoni ya wana California itaitishwa ili kuamua kama wanataka kubaki USA au kujitenga, kisa na mkasa ni Donald Trump!
Tunaambiwa kwamba Raisi wa USA hana nguvu na madaraka makubwa, iweje mpaka wafikie hatua ya kufikiria kulitenganisha Jimbo kubwa na muhimu kama California kama waliweza tu kuzuia maamuzi yake?
![]()
'Calexit' can start collecting signatures
Hamna kinachoshindikana wewe hii ina historia ndefu na dola mengi Yamepit ije kuwa USA au wao wapo sayari ya MarsKaka hakuna kitu kama hicho, Muungano wa kuipata USA ulifanyika kwa hiyari kwa baadhi ya state na damu ilimwagika kwa baadhi ya states Ili kuipata hiyo USA,
Baada ya hapo hakuna states inayoweza kujitenga tena, seal ya USA imeshawekwa
Tatizo hamuelewi kitu anachofanya trump bali mnasubir upotoshaji ndo mnaudaka juu juuTatizo la Trump baadhi ya Sera zake anaingizwa mkenge na Russia ili tutakuja kuliona baadae kabisa.......
Lakini yeye anajifanya mjuaji wa kila kitu.............
Kila kitu anachokifanya toka amekuwa Rais kinakuwa na negative impact kwa marekani na wamarekani sana kuliko positive impact..........
Mfano swala la migrants anajua kabisa kuwaondoa watu 11 milioni ambao ni immigrant itasababisha kuyumba kwa uchumi maana Matajiri wa marekani waliwatumia kuwafanyia kazi kwa malipo kidogo au wastani ukilinganisha na wazawa...........
Mfano kwenye mashamba ya mahindi kule kuna sehemu wakati wa mavuno mpaka wapatikane hawa watu walipwe ujira kidogo ndio wavune mazao.......
Anasahau pia kuwa wazawa sio wachapa kazi kama walivyo wageni wazawa siku zote uwa wanachagua kazi za kufanya na wengi usimamia mali za wazazi wao kama ilivyokuwa kwake......
Hawana exposure kama wageni wanavyo fight maisha tuwe wakweli hata huko Tanzania Dar es salaam ukiona walioijenga sio wazawa wa hapo either ni Wapemba,Wachaga au wahaya lakini wazawa kama Wazaramo wapo wapo tu kupigania Urithi na kufunga ndoa na viduku kila siku hawana exposure...........
Kichekesho ni kuwa hata yeye makampuni Yake yalikuwa yanaajiri immigrant kutoka hasa ulaya .......
Jamaa anachekesha kweli huyu
Sizani kama vyombo vya usalama vitakubali upuuzi huu.....
Hamna kinachoshindikana wewe hii ina historia ndefu na dola mengi Yamepit ije kuwa USA au wao wapo sayari ya Mars
Wanapiga kura 2018Kwa USA hicho kitu hakiwezekani, pamoja na Demokrasia waliyonayo swala la kujitenga sio swala la Kidemokrasia, hakuna state inayoweza kujitenga ndani ya huo muungano
Tulia wewe walivyoangusha USSR hao wendawazimu unadhani tulipenda. Muosha huoshwa ; acha jasusi wa kirusi aangushe wajuaji wanajifanya hawatikiswiTatizo la Trump baadhi ya Sera zake anaingizwa mkenge na Russia ili tutakuja kuliona baadae kabisa.......
Lakini yeye anajifanya mjuaji wa kila kitu.............
Kila kitu anachokifanya toka amekuwa Rais kinakuwa na negative impact kwa marekani na wamarekani sana kuliko positive impact..........
Mfano swala la migrants anajua kabisa kuwaondoa watu 11 milioni ambao ni immigrant itasababisha kuyumba kwa uchumi maana Matajiri wa marekani waliwatumia kuwafanyia kazi kwa malipo kidogo au wastani ukilinganisha na wazawa...........
Mfano kwenye mashamba ya mahindi kule kuna sehemu wakati wa mavuno mpaka wapatikane hawa watu walipwe ujira kidogo ndio wavune mazao.......
Anasahau pia kuwa wazawa sio wachapa kazi kama walivyo wageni wazawa siku zote uwa wanachagua kazi za kufanya na wengi usimamia mali za wazazi wao kama ilivyokuwa kwake......
Hawana exposure kama wageni wanavyo fight maisha tuwe wakweli hata huko Tanzania Dar es salaam ukiona walioijenga sio wazawa wa hapo either ni Wapemba,Wachaga au wahaya lakini wazawa kama Wazaramo wapo wapo tu kupigania Urithi na kufunga ndoa na viduku kila siku hawana exposure...........
Kichekesho ni kuwa hata yeye makampuni Yake yalikuwa yanaajiri immigrant kutoka hasa ulaya .......
Jamaa anachekesha kweli huyu
Sizani kama vyombo vya usalama vitakubali upuuzi huu.....
Wanaalana hao mkuu. Wanaona watawashwa mikia bila kutulizwa maana mwanaume wa shoka kasema nooooKagusa ushoga sasa wanataka kujitenga ili upuuzi wawe huru kufanya ushetani.