Sharpshooter 007
Member
- Feb 18, 2019
- 14
- 30
- Thread starter
-
- #41
Hilo neno hata lisipokuwepo kwenye report sio ishu sana yeye alikua anafanya majumuisho na maoni yake kwa experience aliyofanya kazi na bunge na pia kusemea ndani au nje ya nchi sio kusengenya uhuru wa kuongea hauangalii eneo kama angekua kateleza angeomba msamaha lakini mbona anasisitiza kuendelea kulitumia.weka pembeni taaluma ya mtu na siasa ndio shida yetu watz tunashindwa hapo.Wana JF nimejaribu kufuatilia ubishi wa wakubwa hawa wawili naona wao wameamua kutuchang'anya sisi wananchi wakawaida ili wasikie ya kwetu.
Kwanza, CAG anadai neno "udhaifu" nilakawaida katika taarifa ya ukaguzi kuhusu mahesabu ya kiuhasibu. Sawa hapo mimi sijabisha.
Tatizo langu ni kwamba, kama katika mahesabu yaliyokaguliwa na CAG na kutoa ripoti yake ya juzi, hakuna neno "Bunge ni dhaifu" ina maana alivyosema kule nje ya nchi alikua anasengenya Bunge. Na kama hili neno linaloleta ubishi kwa Mheshimiwa lipo ndani ya Ripoti basi CAG atakuwa sawa kwamba kule nje ya nchi hakuwasengenya. Wale muliorusha vipande vya ripoti ya CAG nitafutieni hicho kipande mukirushe hapa JF.
Haiwezekani kwenye ripoti uwasifie lakini kule kwa wazungu uwaite Dhaifu.
Ndugu Wanajamii,
Sina shaka weekend yenu imekua mwanana na mmejipanga na kuanza juma jipya.
Na imani mmeshaskia mengi juu ya mvutano kati ya CAG na kiongozi wa taasisi ya bunge sio nia yangu kuwachosheni wala kuegemea upande wa nani ni sahihi nani kakosea. Tukirudi kwenye kiini cha mzozo,ile kauli aliyotoa CAG kwamba kwa bunge kushindwa kuisimamia serikali imeonyesha udhaifu,je haikua busara kwa speaker kui counter hiyo kauli kwa kutoa vielelezo namna ambavyo bunge lake limeisimamia serikali ipasavyo ili CAG aonekane muongo na mdhalilishaji?kwangu mimi naamini hoja hujibiwa kwa hoja na si jazba wala mihemko.
Speaker hajachelewa nimuombe iwapo atasoma ujumbe huu au mtu wa karibu wa kumfikishia atumie busara ndogo tu yakuonyesha maeneo ambayo bunge limeisimamia serikali ipasavyo contrary to what CAG is accusing it for kwa kufanya hivyo atajijengea heshima yake,ya bunge tukufu na atamnyamanzisha Prof.Assad kwa hoja.
Naomba kuwasilisha.
YebaahSpika ndugai kapewa assignment na jiwe kuhakikisha CAG anajiuzuru, maana inaonekana CAG sio mtiifu kwa jiwe na kwa mujibu wa jiwe hawezi tumbuliwa na jiwe, kumbuka jiwe anataka kulipa kisasi kwa.Asad kwa kuonyesha uovu wa jiwe hadharani toka akiwa waziri, kwa hiyo unatafutwa upenyo wa kumlazimisha anajiuzuru kwa hiari maana kumtumbua haiwezekani, sasa kwa vile ndugai anataka kuendelea kuwa spika tena japo anaweza kugeuziwa kibao kama sita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mku naona hukunipata vizuri hoja yangu. Nachosema ni hivi neno Udhaifu ni kawaida sana kama amekagua tasisi akakuta mapungufu na ndo madhaifu ya kuyafanyia kazi. Na kwa mantiki hiyo Prof.Assad anakuwa sahihi.Hilo neno hata lisipokuwepo kwenye report sio ishu sana yeye alikua anafanya majumuisho na maoni yake kwa experience aliyofanya kazi na bunge na pia kusemea ndani au nje ya nchi sio kusengenya uhuru wa kuongea hauangalii eneo kama angekua kateleza angeomba msamaha lakini mbona anasisitiza kuendelea kulitumia.weka pembeni taaluma ya mtu na siasa ndio shida yetu watz tunashindwa hapo.
Sioni.Huoni au kuwaza kuwa waweza kuwa dhaifu/sipika kama CAG alivyodai?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoma mbichi mkuu.Mnanishangaza Sana mnavyotekwa kirahisi na kutegeka.kwa hiyo mnaamini Kuna siku spika atakuwa na beef na CAG?Wote hao Ni maofisa wa serikali na msifikiri kwamba hawapigiani simu Kuongea pamoja.kazi zao zote Ni kwa ajili ya watu.msipoteze nguvu zenu kuhadaika na michezo ya kisiasa tu mwishowe mnaingia king baadae kick ikipatikana mnabaki nyie kuaibika.come one!wake up brothers.
Rejea kichwa cha habar hapo juu cha husu neno `DHAIFU' huu mkanganyiko hata humu wanabodi mnachanganya mambo, tutofautishe kati ya taasisi , mhimili NA MTU binafsi. CAG alilenga mhimili wa bunge , kwahyo CAG alikosea kutamka mhimili flani ni dhaifu. Nani kampa hayo mamlaka ya kufanyia tathmini bunge ? Nanyi humu mnashagilia! Kama VP mjiite nyie wenyewe neno DHAIFU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bunge ni dhaifu na Ndugai ni dhaifu zaidi.Rejea kichwa cha habar hapo juu cha husu neno `DHAIFU' huu mkanganyiko hata humu wanabodi mnachanganya mambo, tutofautishe kati ya taasisi , mhimili NA MTU binafsi. CAG alilenga mhimili wa bunge , kwahyo CAG alikosea kutamka mhimili flani ni dhaifu. Nani kampa hayo mamlaka ya kufanyia tathmini bunge ? Nanyi humu mnashagilia! Kama VP mjiite nyie wenyewe neno DHAIFU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi ni baadhi ya wajinga wachache mnao mjaza ujinga spika na bunge lakeRejea kichwa cha habar hapo juu cha husu neno `DHAIFU' huu mkanganyiko hata humu wanabodi mnachanganya mambo, tutofautishe kati ya taasisi , mhimili NA MTU binafsi. CAG alilenga mhimili wa bunge , kwahyo CAG alikosea kutamka mhimili flani ni dhaifu. Nani kampa hayo mamlaka ya kufanyia tathmini bunge ? Nanyi humu mnashagilia! Kama VP mjiite nyie wenyewe neno DHAIFU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Moja:TAASISI STRONG HAIWEZI CHAGUA KIONGOZI DAHAIFU.Pili: Muhimili wa Bunge,Muhimili wa mahakama na Muhimili ule uliojichimbia chini-wote boss wao ni wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao wanaitwa WANYONGE au DHAIFU na wanapiga vigelegele kweli,sasa sijui bunge linaundwa na watu wa nchi gani? Tatu:-Kama bunge kama taasisi halina uwezo wa kufanya kazi zake basi ni dhaifu.Rejea kichwa cha habar hapo juu cha husu neno `DHAIFU' huu mkanganyiko hata humu wanabodi mnachanganya mambo, tutofautishe kati ya taasisi , mhimili NA MTU binafsi. CAG alilenga mhimili wa bunge , kwahyo CAG alikosea kutamka mhimili flani ni dhaifu. Nani kampa hayo mamlaka ya kufanyia tathmini bunge ? Nanyi humu mnashagilia! Kama VP mjiite nyie wenyewe neno DHAIFU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usilete siasa kwenye taaluma, muulize CAG sababu za kusema hivyo, au muulize daktari aliyekupima kusema wewe Ni mgonjwaRejea kichwa cha habar hapo juu cha husu neno `DHAIFU' huu mkanganyiko hata humu wanabodi mnachanganya mambo, tutofautishe kati ya taasisi , mhimili NA MTU binafsi. CAG alilenga mhimili wa bunge , kwahyo CAG alikosea kutamka mhimili flani ni dhaifu. Nani kampa hayo mamlaka ya kufanyia tathmini bunge ? Nanyi humu mnashagilia! Kama VP mjiite nyie wenyewe neno DHAIFU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka naona hukuelewa udhaifu unaozungumziwa si kwamba ukaguzi wa bunge ulifanyika na kukutwa udhaifu,udhaifu aliousema CAG ni ule ambao bunge limeshindwa kuisimamia serikali katika kuhoji matumizi ya fedha za kodi za wananchi.Bunge linapaswa kuihoji serikali kila senti iliyokusanywa imetumikaje.ndio wajibu wake KUISIMAMIA.Mku naona hukunipata vizuri hoja yangu. Nachosema ni hivi neno Udhaifu ni kawaida sana kama amekagua tasisi akakuta mapungufu na ndo madhaifu ya kuyafanyia kazi. Na kwa mantiki hiyo Prof.Assad anakuwa sahihi.
Lakini kama mimi hujaja kunikagua katika uwanja au eneo husika, huwezi kunambia kwamba nina udhaifu katika eneo hilo hapo ni tusi kwangu. Mana ukisema nina udhaifu katika ukaguzi, lazima uwe na vielelezo jinsi navyo paswa kufanya kazi na hali halisi ulioikuta wakati waukaguzi.
Ndo maana nkauliza, kwani ripoti ya CAG ya ukaguzi kuhusu Bunge, iliyasema humo ndani ya ripoti yake au aliona aende kuyasema huko kwa Wazungu?