Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,580
Proffesa Assad anamuhofia Allah tu na si nyinyi mapumbavu mnaouguwa ugonjwa wa manyani.Wanaomdharau Ndungai wanamdanganya Assad kile kichwa kitaliwa soon. Huyu Assad mswahiliswahili sana.
Proffesa Assad anamuhofia Allah tu na si nyinyi mapumbavu mnaouguwa ugonjwa wa manyani.Wanaomdharau Ndungai wanamdanganya Assad kile kichwa kitaliwa soon. Huyu Assad mswahiliswahili sana.
Wanaomdharau Ndungai wanamdanganya Assad kile kichwa kitaliwa soon. Huyu Assad mswahiliswahili sana.
Anahusika,ndugai ni msemaji tu,remote ipo magogonimimi kinachonishangaza ni kitendo cha spika kumuingiza rais kwenye mgogoro usiomuhusu.hii in hatar sana....
REKEBISHA KICHWA, ONDOA CAG V/s SPEAKER, KELELE ZILIZOPO NI ZA UPANDE MMOJA WA SPEAKER, CAG HAYUMO KWENYE MALUMBANO.Ndugu Wanajamii,
Sina shaka weekend yenu imekua mwanana na mmejipanga na kuanza juma jipya.
Na imani mmeshaskia mengi juu ya mvutano kati ya CAG na kiongozi wa taasisi ya bunge sio nia yangu kuwachosheni wala kuegemea upande wa nani ni sahihi nani kakosea. Tukirudi kwenye kiini cha mzozo,ile kauli aliyotoa CAG kwamba kwa bunge kushindwa kuisimamia serikali imeonyesha udhaifu,je haikua busara kwa speaker kui counter hiyo kauli kwa kutoa vielelezo namna ambavyo bunge lake limeisimamia serikali ipasavyo ili CAG aonekane muongo na mdhalilishaji?kwangu mimi naamini hoja hujibiwa kwa hoja na si jazba wala mihemko.
Speaker hajachelewa nimuombe iwapo atasoma ujumbe huu au mtu wa karibu wa kumfikishia atumie busara ndogo tu yakuonyesha maeneo ambayo bunge limeisimamia serikali ipasavyo contrary to what CAG is accusing it for kwa kufanya hivyo atajijengea heshima yake,ya bunge tukufu na atamnyamanzisha Prof.Assad kwa hoja.
Naomba kuwasilisha.
Uswahili wake upi???Wanaomdharau Ndungai wanamdanganya Assad kile kichwa kitaliwa soon. Huyu Assad mswahiliswahili sana.
Hahahahahahaha Leo mmemkumbuka makindaBora ya Mama Anna Makinda.
Kiti cha Mama Makinda kilikuwa na ahueni kuliko huyu zipu ya pochi.
Wanaomdharau Ndungai wanamdanganya Assad kile kichwa kitaliwa soon. Huyu Assad mswahiliswahili sana.
Mswahilswahili??? udhaifu wabunge na bunge dhaifu ni kauli mbili tofauti. Bunge limeoverreact na kuweka siasa kwenye neno la kitaaluma ambalo naamini lilitumika hivyo na si kwa maana ya lugha ya kawaidaWanaomdharau Ndungai wanamdanganya Assad kile kichwa kitaliwa soon. Huyu Assad mswahiliswahili sana.
Likewise, na CAG angetoa mifano yakutosha jinsi Bunge lilivyoshindwa kuisimamia Serikali ili Spika ajidefend kwakutumia mifano hiyohiyo. Hapo tutawaelewa.Ndugu Wanajamii,
Sina shaka weekend yenu imekua mwanana na mmejipanga na kuanza juma jipya.
Na imani mmeshaskia mengi juu ya mvutano kati ya CAG na kiongozi wa taasisi ya bunge sio nia yangu kuwachosheni wala kuegemea upande wa nani ni sahihi nani kakosea. Tukirudi kwenye kiini cha mzozo,ile kauli aliyotoa CAG kwamba kwa bunge kushindwa kuisimamia serikali imeonyesha udhaifu,je haikua busara kwa speaker kui counter hiyo kauli kwa kutoa vielelezo namna ambavyo bunge lake limeisimamia serikali ipasavyo ili CAG aonekane muongo na mdhalilishaji?kwangu mimi naamini hoja hujibiwa kwa hoja na si jazba wala mihemko.
Speaker hajachelewa nimuombe iwapo atasoma ujumbe huu au mtu wa karibu wa kumfikishia atumie busara ndogo tu yakuonyesha maeneo ambayo bunge limeisimamia serikali ipasavyo contrary to what CAG is accusing it for kwa kufanya hivyo atajijengea heshima yake,ya bunge tukufu na atamnyamanzisha Prof.Assad kwa hoja.
Naomba kuwasilisha.
Ndugai katengeneza mgogoro pasipo mgogoro. Yeye angejibu tu, "Hayo ni maoni yake, sisi tunafanya shughulu zetu kwa weledi blah blah blab" Jambo lingekwisha. Wazungu wanasema, when you're in a hole you stop digging
Wana JF nimejaribu kufuatilia ubishi wa wakubwa hawa wawili naona wao wameamua kutuchang'anya sisi wananchi wakawaida ili wasikie ya kwetu.
Kwanza, CAG anadai neno "udhaifu" nilakawaida katika taarifa ya ukaguzi kuhusu mahesabu ya kiuhasibu. Sawa hapo mimi sijabisha.
Tatizo langu ni kwamba, kama katika mahesabu yaliyokaguliwa na CAG na kutoa ripoti yake ya juzi, hakuna neno "Bunge ni dhaifu" ina maana alivyosema kule nje ya nchi alikua anasengenya Bunge. Na kama hili neno linaloleta ubishi kwa Mheshimiwa lipo ndani ya Ripoti basi CAG atakuwa sawa kwamba kule nje ya nchi hakuwasengenya. Wale muliorusha vipande vya ripoti ya CAG nitafutieni hicho kipande mukirushe hapa JF.
Haiwezekani kwenye ripoti uwasifie lakini kule kwa wazungu uwaite Dhaifu.