Nokla
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 3,190
- 1,780
Wakuu nimeona kwenye media moja huyu bwana ameahidi kwamba anafanya marejeo juu ya ripoti ya ofisi yake kuhusu account ya Tegeta Escrow, hii ndio maana mukulu amewakingia vifua wezi wote kwa kuwa jamaa anaenda kuisafisha ripoti?
Pia kwa hawa jamaa wa buku7 waliotumwa kuja kutetea wizi humu jamii Forums ndio wamemuambia kwamba hali ni shwari?
My take: mimi naona anajichelewesha tu maana, sisi tunajua maamuzi yameshafikiwa na kazi ya CAG mpya si kukata rufaa maana waliofanya hiyo kazi pia ni professionals.