Shahed kamikaze
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 575
- 959
Je hela za rambirambi kaondoka hajalipa afukuliwe alipe banaAnadhani watanzania hatuna macho kuona magufuli alivyovifanya?
Hakuna kama magufuli. Ni wa pekee
Ya wizara ya fedha uliiskia?Ofisi ya raisi, VP, Usalama na Jeshi ripoti za ukaguzi hazitolewi public kwa sababu ya usalama. Ila raisi anapewa zote. Kama sijakosea. Hata ripoti za nyuma za Prof Assad hazina hizo ofisi
Mbona mkali kauliza tuhakujua kama haitolewi public na kwani i haiko oublic wakayi yeye no publoc figureHuu ni utoto sasa, nani alikuambia ofisi ya Makamu wa Rais report yake huwa inatolewa public? Basi mbona hujauliza report ya jeshi? Usalama wa Taifa, Polisi? Wizara ya Mambo ya Ndani na ofisi ya Rais?
Kuwa makini kabla ya kuleta thread yako unaweza kuwa una Nia nzuri lakini inakupunguzia heshima japo unatumia ID tu ila hata ID zinaheshimika humu.
Wewe ni mpumbavu halafu unajifanya mjuaji!Nikupe pongezi kwa shughuli pevu ya kukagua hesabu za Serikali, bila shaka tumeona ni kiasi gani fedha za Serikali zimepotea pasipo kufikia malengo kusudiwa, nikupongeze kwa hilo.
Katika ukaguzi wako umeona madudu karibu kila sehemu ila cha kushangaza ofisi ya makamu wa Rais hujaigusia kabisa au kule mambo saaaafiii?
Ninachokushauri tu muraa ni kwamba unafiki hautakusaidia lolote na kwa hili Wana Mara umetushusha mno! Haihitaji kuwa na PhD kuelewa kuwa hiyo ripoti yako imejaa uchuro hamna lolote, Watanzania wanaona na muda utaongea.
Jikite kwenye hoja,jadili hoja na usiwajadili watu,au ulitaka tu uonekane kua na wewe umo humu?Team Jiwe kazini
Kama ipo ivyo haziwi public ni kwann? Kuna haja yakurekebisha iyo sheria maana haiwezekani zisitolewe kwann iwe ni siri wakati pesa zinazotumika niza wananchi walipa kodi??? Na hii inakuwa sio fair cuz nina uwakika hata uko madudu yapo sasa nani atawajibika kwa makosa ya office ya raisi, na makamu kama report zao hazisomwi hazarani??? Hii sheria haipo sawa wote hao niwatumishi wetu na sisi wananchi hatutaki unafiki watoe kila kitu kama walivyofanya kwenye taasisi nyingine...!!!!" maana hayati keshaonekana office yake haikuwa safi kwa upotevu wa pesa nyingi basi na izi office nyingine watuambie tu tujue
Sikiliza kijana , Jiwe kishaondoka na mambo yake yote yamekwenda , NEVER AND NEVER AGAIN , nyie wachumia tumbo wa kusifu na kuabudu tafuteni kazi za kufanya wanafiki wakubwa nyie !Jikite kwenye hoja,jadili hoja na usiwajadili watu,au ulitaka tu uonekane kua na wewe umo humu?
Ofisi ya Rais ilikaguliwa?Nikupe pongezi kwa shughuli pevu ya kukagua hesabu za Serikali, bila shaka tumeona ni kiasi gani fedha za Serikali zimepotea pasipo kufikia malengo kusudiwa, nikupongeze kwa hilo.
Katika ukaguzi wako umeona madudu karibu kila sehemu ila cha kushangaza ofisi ya makamu wa Rais hujaigusia kabisa au kule mambo saaaafiii?
Ninachokushauri tu muraa ni kwamba unafiki hautakusaidia lolote na kwa hili Wana Mara umetushusha mno! Haihitaji kuwa na PhD kuelewa kuwa hiyo ripoti yako imejaa uchuro hamna lolote, Watanzania wanaona na muda utaongea.
Sasa hivi kuna vijana wengi wanatoa maswali yao Faceboo kuja kuyaleta hapa.Mleta mada anatakiwa aelimishwe na sio kudhihakiwa au kutukanwa,
Hivi JF inaelekea wapi nowadays?
Nishaongea nae aache kiteteNikupe pongezi kwa shughuli pevu ya kukagua hesabu za Serikali, bila shaka tumeona ni kiasi gani fedha za Serikali zimepotea pasipo kufikia malengo kusudiwa, nikupongeze kwa hilo.