CAG anatakiwa kutangaza kuachia ngazi mapema

Bado narudi pale pale. Bunge wana power only of CAG angekuwa member wa bunge.
Bahati mbaa yeye si member wa bunge.. na kwa chama hiki cha sasa.. hakuna speaker mwenye guts.. za kubadilisha katiba.
Katiba ni sheria mama.. bunge litachange sheria za kawaida na kutunga zingine.. lakin katiba ni backbone. Kuorekebisha lazima idhini ipitie kwa rais pia..
Kama wangekuwa wanaweza kumtoa wangemtoa sikunyingi.. nn kinawakwamisha?
Hawawez kubadilisha kwa sababu imelalia kwao, hata kama sio simple bado bunge ndo lina nguvu ya kufanya hivyo, hakuna mhimili wwte au mtu yyte mwenye nguvu hiyo, ndo mana hata raisi akiingia madarakani cha kwanza ni kubana bunge kwa kuweka vibaraka wake, bunge lina nguvu hata ya kumuondoa raisi, nchi zingine raisi aliyechaguliwa akizidiwa viti vya ubunge inambidi kufanya serikali ya mseto , bila hvyo hoja zake zitakuwa zinapingwa na kwa kuwa wapinzani ni wengi bungeni linapokuja suala la kura lazima aangukie pua, na hata kumuondoa ni dk sifuri tuu, ili kuepusha hyo anafanya serikali ya mseto.....
Linapokuja suala la kuonyeshana ubabe CAG hana nguvu yyte dhidi ya Bunge, wakitaka kumfanya kitu mbaya ni chapu tuu ...sema huwez kufanya mchakato mkubwa kama ule kwa kesi ndogo kama ya CAG, kinachofanyika ni kuitupa ripoti kwenye dustbeen, maana CAG anategemea Bunge ili ripoti yake ilete matokeo
 
Baba wee..CAG huwa anakugua nn?
Everyrhing.. record zote.mpaka hizo taratibu.
Hii report inafanyiwa mchakato almostmwaka mzima.. anapelekewa rais aicheki na yeye.

Ndio kusema ilipopita wote wamekosea.? I dont think so
Hakuna ushahidi wowote kuwa pesa ya Serikali inaliwa ila nachojua Mimi Ni kuwa taratibu za fedha zinakuwa hazijakamilika pale CAG anapokuwa anakagua na akipita tena taarifa huwa sahihi.
 
Bado narudi pale pale. Bunge wana power only of CAG angekuwa member wa bunge.
Bahati mbaa yeye si member wa bunge.. na kwa chama hiki cha sasa.. hakuna speaker mwenye guts.. za kubadilisha katiba.
Katiba ni sheria mama.. bunge litachange sheria za kawaida na kutunga zingine.. lakin katiba ni backbone. Kuorekebisha lazima idhini ipitie kwa rais pia..
Kama wangekuwa wanaweza kumtoa wangemtoa sikunyingi.. nn kinawakwamisha?
Mkuu mbna unakuwa mgumu kuelewa, huoni nchi za wenzetu bunge ndo linapiga kura kubadili katiba ili kumpa nguvu raisi kuongoza mihula mitatu kinyume cha katiba hapo mwanzo....sio wanasheria au wahasibu au wasomi wanaopiga kura but ni bunge, hata kama ni ngumu but bunge ndo starting point, Okey tusizunguke sana JPM na Bunge ni pete na kidole, mpak hapo nini kinashindikana kumsimash CAG??

Issue iliyopo tu ni kwamba hawashindwi kumfanyia manyanga ila mikwaruzano yenyewe ni midogo kusimamisha nchi kwa sakata la CAG, huwez kutumia nyundo kumuua mende mwisho wa siku utaharibu na sakafu wakat kijiti tu kinatosha kumaliza hyo kaz, haina haja ya kudraw tension ya watu wakatu ni kitendo cha kupokea ripoti na kuitupa kwenye dustbin na kuchora mbele kwa mision zingine za maana...
 
Sawa but for weak bunge kama hili wanaanzianwapi? Unajua kabisa uongozi wa bunge umesimikwa pale na nani?
Na wako loyal kwa nani?
That guy ndio mwenye last say. Bunge ni kama kivuli tu .chama kimekuwa na power kuliko wabunge wenyewe ambao ndio wenye bunge..means atakae kuwa kiongoz wa chama can control everything.
Sawa but the issue ni kwamba lazima wabadilishe katiba kumpunguzia rais nguvu.. lazima qabadilishe katiba kumpunguzia CAG power..
But kwenye mchakato huo ni rais gani atakaa tu na kuangalia?
Uongozi wote wa bunge who has the guts?
 
Baba wee..CAG huwa anakugua nn?
Everyrhing.. record zote.mpaka hizo taratibu.
Hii report inafanyiwa mchakato almostmwaka mzima.. anapelekewa rais aicheki na yeye.

Ndio kusema ilipopita wote wamekosea.? I dont think so
Hawajakosea ila taratibu za fedha bado hazijakamilika mpaka mwisho....Kuna baadhi ya watumishi wagumu kukamilisha taratibu ktk matumizi ya fedha.
 
Hawajakosea ila taratibu za fedha bado hazijakamilika mpaka mwisho....Kuna baadhi ya watumishi wagumu kukamilisha taratibu ktk matumizi ya fedha.
Basi kosa ni la hao watumishi sio la CAG. Wawajibishwe wao. Mnasubiri nn sasa
 
Hatupata CAG mkweli kama Asad na rais naamini kama kweli anachukia uovu sioni sababu za kumfuta kazi Asad ila atangaze kulifuta bunge lisilokubali kukosolewa bali kusifiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni mzee na uswahiba na wapigaji kona dau na zitto.

Kiongozi wa idara nyeti kama hii kuwa msiri na sio mtoa siri za kazi yake kwa maswahiba wake.
 
Hivi we unaweza jifananisha na CAG
We kaa mkao wa kutuliaaa na uone

Ova
Heshima yake imeshuka.....alitakiwa alipotoka USA ajiondoe ofisini....sasa hivi credibility imeshuka Sana...hata Kama atafanya kazi zingine Kama anavyosema lakini kuondoka kwake ofisi this time hakuna heshima tena.
 
Sawa....
Wazee wa bora liende.....

Ova
Kuna vitu huwezi kupingana navyo soma alama za nyakati....Sasa Kichere ameambiwa leo aanze kazi ofisi uliyokuwepo Kuna heshima tena kwa wewe uliyokuwepo hapo. Hata Kama Proff Assad ana akili na CV lakini ndiyo imeshaingia dosari tena.Ataongea mengi Sana lakini hayasaidii muda umeshapita....no one listern
 
Heshima yake imeshuka.....alitakiwa alipotoka USA ajiondoe ofisini....sasa hivi credibility imeshuka Sana...hata Kama atafanya kazi zingine Kama anavyosema lakini kuondoka kwake ofisi this time hakuna heshima tena.
Tuombe uhai tu.........
Huko mbeleni tutakuja kujua heshima kwa Nani imeshuka

Ova
 
Back
Top Bottom