Kazitunayo JF-Expert Member Mar 30, 2013 3,773 3,160 Nov 29, 2013 #1 Ivi wakuu CAG ashawahi kukagua Hesabu za serikali ya zanzibar au hausiani na upande wa pili napenda kuuliza kwa vile sijawahi kumsikia CAG wa zanzibar
Ivi wakuu CAG ashawahi kukagua Hesabu za serikali ya zanzibar au hausiani na upande wa pili napenda kuuliza kwa vile sijawahi kumsikia CAG wa zanzibar