CAG akabidhi ripoti 17 za mwaka wa fedha 2017/18 kwa Rais Magufuli

Queen V

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
776
1,330
Ripoti 17 za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2018 zimekabidhiwa rasmi kwa Rais Dk. John Magufuli.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Dar es Salaam na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT), ripoti hiyo imewasilishwa na CAG katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam juzi na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka ofisi hiyo.

CAG alimkabidhi Magufuli ripoti ya Ukaguzi wa Serikali Kuu, Ripoti ya Ukaguzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, Ripoti ya Ukaguzi wa Mashirika ya Umma na Ripoti ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo.

Pia alikabidhi Ripoti ya Ukaguzi wa Mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Ripoti ya Ukaguzi wa Ufanisi na ripoti 11 za ukaguzi wa ufanisi katika sekta mbalimbali.

Sekta hizo ni pamoja na usimamizi wa shughuli za ujenzi wa miradi ya umwagiliaji, usimamizi wa miradi ya maji vijijini, usimamizi wa miradi ya maji itokanayo na visima virefu.

Nyingine ni matengenezo ya mitambo ya kuzalisha umeme, usimamizi wa elimu kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu, usimamizi wa mfumo wa ununuzi wa magari ya Serikali kwa pamoja pia sekta ya ufuatiliaji wa shughuli za ujenzi na majengo ya mijini, usimamizi wa utoaji wa huduma za afya za rufaa na dharura kwa hospitali za rufaa ngazi ya juu, upatikanaji na usambazaji wa pembejeo za kilimo, usimamizi wa utoaji wa huduma ya bima ya afya na ufuatiliaji wa mapendekezo ya ukaguzi wa ufanisi.

Akizungumza baada ya kupokea ripoti hiyo, Magufuli aliipongeza ofisi ya CAG kwa kazi nzuri inayofanya na pia kuahidi kuwa Serikali itaendelea kushirikiana nao kwa karibu na katika kukabiliana na kudhibiti matumizi mabaya na upotevu wa fedha za umma.

Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania Ibara ya 143 kifungu kidogo 2 na 4, kinamtaka CAG kukabidhi ripoti hizo kwa Rais kabla ya Machi 31, kila mwaka na baada ya hapo zinawasilishwa bungeni siku saba za mwanzo za kikao cha Bunge kinachofuata.

IMG_3064.JPG

IMG_3065.JPG
 
View attachment 1059049
View attachment 1059050
Seat ya mbele ili nijue tsh ngapi zimeliwa.
 
CAG akabidhi ripoti 17 za ukaguzi Ikulu
By
Mtanzania Digital
-
March 31, 2019

Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad
Na GRACE SHITUNDU-DAR ES SALAAM
RIPOTI 17 za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2018 zimekabidhiwa rasmi kwa Rais Dk. John Magufuli.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Dar es Salaam jana na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT), ripoti hiyo imewasilishwa na CAG katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam juzi na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka ofisi hiyo.
CAG alimkabidhi Magufuli ripoti ya Ukaguzi wa Serikali Kuu, Ripoti ya Ukaguzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, Ripoti ya Ukaguzi wa Mashirika ya Umma na Ripoti ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo.
Pia alikabidhi Ripoti ya Ukaguzi wa Mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Ripoti ya Ukaguzi wa Ufanisi na ripoti 11 za ukaguzi wa ufanisi katika sekta mbalimbali.
Sekta hizo ni pamoja na usimamizi wa shughuli za ujenzi wa miradi ya umwagiliaji, usimamizi wa miradi ya maji vijijini, usimamizi wa miradi ya maji itokanayo na visima virefu.
Nyingine ni matengenezo ya mitambo ya kuzalisha umeme, usimamizi wa elimu kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu, usimamizi wa mfumo wa ununuzi wa magari ya Serikali kwa pamoja pia sekta ya ufuatiliaji wa shughuli za ujenzi na majengo ya mijini, usimamizi wa utoaji wa huduma za afya za rufaa na dharura kwa hospitali za rufaa ngazi ya juu, upatikanaji na usambazaji wa pembejeo za kilimo, usimamizi wa utoaji wa huduma ya bima ya afya na ufuatiliaji wa mapendekezo ya ukaguzi wa ufanisi.
Akizungumza baada ya kupokea ripoti hiyo, Magufuli aliipongeza ofisi ya CAG kwa kazi nzuri inayofanya na pia kuahidi kuwa Serikali itaendelea kushirikiana nao kwa karibu na katika kukabiliana na kudhibiti matumizi mabaya na upotevu wa fedha za umma.
Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania Ibara ya 143 kifungu kidogo 2 na 4, kinamtaka CAG kukabidhi ripoti hizo kwa Rais kabla ya Machi 31, kila mwaka na baada ya hapo zinawasilishwa bungeni siku saba za mwanzo za kikao cha Bunge kinachofuata.
 
Ripoti 17 za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2018 zimekabidhiwa rasmi kwa Rais Dk. John Magufuli.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Dar es Salaam na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT), ripoti hiyo imewasilishwa na CAG katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam juzi na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka ofisi hiyo.

CAG alimkabidhi Magufuli ripoti ya Ukaguzi wa Serikali Kuu, Ripoti ya Ukaguzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, Ripoti ya Ukaguzi wa Mashirika ya Umma na Ripoti ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo.

Pia alikabidhi Ripoti ya Ukaguzi wa Mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Ripoti ya Ukaguzi wa Ufanisi na ripoti 11 za ukaguzi wa ufanisi katika sekta mbalimbali.

Sekta hizo ni pamoja na usimamizi wa shughuli za ujenzi wa miradi ya umwagiliaji, usimamizi wa miradi ya maji vijijini, usimamizi wa miradi ya maji itokanayo na visima virefu.

Nyingine ni matengenezo ya mitambo ya kuzalisha umeme, usimamizi wa elimu kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu, usimamizi wa mfumo wa ununuzi wa magari ya Serikali kwa pamoja pia sekta ya ufuatiliaji wa shughuli za ujenzi na majengo ya mijini, usimamizi wa utoaji wa huduma za afya za rufaa na dharura kwa hospitali za rufaa ngazi ya juu, upatikanaji na usambazaji wa pembejeo za kilimo, usimamizi wa utoaji wa huduma ya bima ya afya na ufuatiliaji wa mapendekezo ya ukaguzi wa ufanisi.

Akizungumza baada ya kupokea ripoti hiyo, Magufuli aliipongeza ofisi ya CAG kwa kazi nzuri inayofanya na pia kuahidi kuwa Serikali itaendelea kushirikiana nao kwa karibu na katika kukabiliana na kudhibiti matumizi mabaya na upotevu wa fedha za umma.

Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania Ibara ya 143 kifungu kidogo 2 na 4, kinamtaka CAG kukabidhi ripoti hizo kwa Rais kabla ya Machi 31, kila mwaka na baada ya hapo zinawasilishwa bungeni siku saba za mwanzo za kikao cha Bunge kinachofuata.
 
this time sidhani kama kuna hela itakuwa imeliwa.

hawakawii kutuambia kuna tril 1 imeongezeka na hawajui ilipotokea kwaiyoo tunamshukuru raisi kwa miujiza ambayo haijawai kutokea tangu tupate uhuru.
 
CAG angeshauri serikali katika mfumo wa manunuzi ya gari za serikali, wasinunue LANDCRUISER VX V8 tena, hizi ni gharama kubwa kubwaa mnoo kuzinunua hadi kuzi maintain..!! Serikali ingenunua Land Cruiser Prado 150, cc 2,700 petrol or cc 2,800 diesel, hizi ni gari nafuu sana kwa kununua kulinganisha na Land Cruiser VX V8 L200, almost nusu ya bei ya L200 na kuzi maintain na nafuu ktk gharama za utumiaji mafuta ni 1L up to 10km..

Hili tumesema weeeeee, tumeshauriii hadi kwa rangi zote nyekundu, kijani, sasa sielewi, serikali inatumia hela nyingi sana kwa mashangingi ya magari hayo..!!

Labda wanunue kwa Ikulu, VP na PM tu, wengine wote wanunuliwe Prado tu..!! Mh. Rais sikiliza hiki kilio uta save hela mabilioni plz plz
 
Nina shauku ya kuona hesabu za CDM na ACT Wazalendo
Hawa jamaa ni kama wajanja wajanja hivi
Utaambiwa matibabu ya Lissu 1trioni!
 
Back
Top Bottom