Taarifa ya CAG inapoachwa bila kufanyiwa kazi ni sawa na kuchezea Shillingi chooni.Inaonekana kuna tatizo ofisi ya Msajili wa Mali za Umma.
Tanzania: PRIDE Tanzania's Capital Increases to Over 88bn ...
allafrica.com/stories/201503310177.htmlAllAfrica.com
https://en.wikipedia.org/wiki/Bank_M
Bank M - Wikipedia, the free encyclopedia
Bank M - Wikipedia, the free encyclopedia
Wikipedia
It is licensed by the Bank of Tanzania, the country's central bank and national banking ... [hide]. 1 Overview; 2 History; 3 Ownership; 4 Branch Network; 5 Governance; 6 See also; 7 References; 8 External links ... 6, Pride Tanzania Limited, 3.46.
Bank M Stock Ownership
Rank Name of Owner Percentage Ownership
1 Sanjeev Kumar 10.53
2 Bhaskar Nair 7.09
3 Sean Patrick Breslin 11.63
4 Vimal Mehta 16.03
5 Shilpa Mehta 3.40
6 Pride Tanzania Limited 3.46
7 Africarriers Limited 11.00
8 Equity & Allied Limited 12.17
9 Noble Azania Investments Limited 7.30
10 Shiva Sanjeev Kumar 1.42
11 Gissings Directors Pension Scheme 2.47
12 Ramesh Patel 3.26
13 Caitrin Breslin 0.90
14 Simon & Roisin Gregory 4.45
15 Sumaria Properties Limited 4.87
Total 100.00
Aisee umenikumbusha somo langu nililokuwa nalipenda wakati niko chuo la Critical Thinking and ArgumentationSociologist hutaki kwenda beyond observable!!!!!?????
Huweki premise ila unakomaa na conclusion!!!!?????
Validity na reliability ya majibu yako ni questionable!!!!?????
Armchair sociologist at best!!!!!!!
mkuu unanitia aibu. Wewe unajidili lugha aliyotumia au unachotakia kuangalia maudhui ya muandishi. Usiniangushe comrade Kuna mengine sio ya kufumbia macho ata kama yatamumiza kada Wako. Jaribu kuwa mzalendo kwenye baadhi ya mambo, na sio kila haramu ni ya Kula Tu.Inasikitisha sana kuona Kiswahili kikiandikwa namna hii.
Hivi, wewe ni Mtanzania na Kiswahili ni lugha ya Taifa lako?
Mada imeeleweka ndo maana tunajadili, we unayeleta u-BAKITA shauri yakoInasikitisha sana kuona Kiswahili kikiandikwa namna hii.
Hivi, wewe ni Mtanzania na Kiswahili ni lugha ya Taifa lako?
Muuungu wangu
Kuna Pride Malawi, Pride Kenya, Pride Uganda, hizi nazo zinamilikiwa na nani au ni branches za Pride Tanzania.
Kuna Pride Malawi, Pride Kenya, Pride Uganda, hizi nazo zinamilikiwa na nani au ni branches za Pride Tanzania.
PL 111 na Dr Lwaitama na Dr MihanjoAisee umenikumbusha somo langu nililokuwa nalipenda wakati niko chuo la Critical Thinking and Argumentation
Wamiliki wa Pride Tanzania ni Idd Simba, Nimrod Mkono, na kundi la wahindi sijui hizo Pride zingine ni zao au majina tu.Swali la msingi hilo! Au majina tu?
MKUU Ongeza Na Akina KARAMAGI Aliyewahi Kuwa Naibu Waziri Wa VIWANDA Na BIASHARA!! Akajiwekezea Pale TICS BANDARINI, KWA Kuwa Mmoja Wa Wanahisa Na Kwa Kutumia Nafasi Yake Aliiwezesha TICS KUINGIA Mkataba Wa Muda Mrefu!!!Idd Simba,Rugemalira,Mzindakaya,Rostam wameiweka serikali mfukoni
Wamiliki wa Pride Tanzania ni Idd Simba, Nimrod Mkono, na kundi la wahindi sijui hizo Pride zingine ni zao au majina tu.
Ina maana serikali ilikuwa haijui au ulikuwa ni mradi wa watu?
Wewe sindiyo umetuwekea shareholders wa Pride ujaona kampuni za kina Idd Simba na Nimrod Mkono?Kwani siyo mali ya Umma?. Toka lini akina Simba wameinunua?
Unataka kutuondoa kwenye mada. Pride Tanzania ni jipu la CCMInasikitisha sana kuona Kiswahili kikiandikwa namna hii.
Hivi, wewe ni Mtanzania na Kiswahili ni lugha ya Taifa lako?
Triumph ndio maana kamwaga mchele.. afria lazima itawaliwe tena .... Kwa upuuzi huu wa watu wachache..mbona wahindi wamejaa sana PRIDE tena position za juu za u manager kulikoni PRIDE kumbe ya serikali yereuwiiiii kutwa kutudhalilisha masikin mnaomba misaada nje kumbe wachumia tumbo na familia zenu