Unataka kutuaminisha kwamba CAF Cup ndio Kombe la Shirikisho?Yeah, mwaka 1974 Simba ilifika Nusu Fainali ya Africa Cup of Champions Clubs (kwa kiswahili ni kombe la vilabu bingwa vya Afrika), na mwaka 1993 ilifika fainali ya CAF Cup (kwa kiswahili ni kombe la shirikisho la soka la Africa)
Wewe kweli funza sasa kwa akili yako timu ya mamelod kuna mchezaji wamemsajili thamani yake inazidi thamani ya komba la CAF ambalo yeye anashindana,hivi wewe funza unadhani bajeti ya al ahly kwa msimu mzima unafanana na thamani ya kombe la afrika?lakini uto kwa pesa walizotumia hata hili la kuingia nusu angalau litawapoza japo bado ni hasara
umeandika ugwaduWewe kweli funza sasa kwa akili yako timu ya mamelod kuna mchezaji wamemsajili thamani yake inazidi thamani ya komba la CAF ambalo yeye anashindana,hivi wewe funza unadhani bajeti ya al ahly kwa msimu mzima unafanana na thamani ya kombe la afrika?
Ujui kwamba ndio mabingwa watarajiwa wa ilo kombe mwaka huu!lakini uto kwa pesa walizotumia hata hili la kuingia nusu angalau litawapoza japo bado ni hasara
Tatizo ni uelewa tu.Ukisoma hapa huyu admin anasema first ever akimaanisha kwamba hawajawah fika, ila wachambuzi wa mpira Tanzania wanasema alishawah fika 1974 sasa tumwamin nani kati ya CAF au wachambuzi lia lia wa Tanzania
Mashabiki wa simba matusi yenu pelekeni tu CAF mim tu nimeleta habari nikiambatanisha na risit
Mitandao ipo, muwe mnajisomea kabla ya kuandika ujinga.Tatizo ni uelewa tu.
Mfano hapa kwetu hii premier kuna kipindi hapo nyuma ilijulikana kama ligi daraja la kwanza baadae ligi kuu.
Unapotaka kusema timu fulani haijachukua kombe la ligi kuu unakuwa unazungimzia tangu jina hilo limeanza hata kama amewahi kuwa bingwa wa ligi daraja la kwanza.
Najaribu kuelewa tu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
yanga uwezo wa kufikahadi fainali wanao watulize vichwa tuhUjui kwamba ndio mabingwa watarajiwa wa ilo kombe mwaka huu!
Sijui tutaficha sura zetu wapi wakichukua huo ubingwa!
CAF wamesema ni first time everTatizo ni uelewa tu.
Mfano hapa kwetu hii premier kuna kipindi hapo nyuma ilijulikana kama ligi daraja la kwanza baadae ligi kuu.
Unapotaka kusema timu fulani haijachukua kombe la ligi kuu unakuwa unazungimzia tangu jina hilo limeanza hata kama amewahi kuwa bingwa wa ligi daraja la kwanza.
Najaribu kuelewa tu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
CAF wamesema ni first time ever
Na bingwa wa kombe la NYERERE ndio alikuwa anshiriki kombe la washindi barani afrikaUnataka kutuaminisha kwamba CAF Cup ndio Kombe la Shirikisho?
Jinga kweli wewe, ndio maana tunaitwa mbumbumbu.
CAF Confederation Cup itaitwaje?
Kumbuka 1993 kulikuwepo na makombe 3 ya CAF yanashindaniwa na ilo waliloshiriki Simba lililuwa kombe la mshindi wa 3.
Simba wasitufanye sie watoto
......Kombe Gani!?
1)La CL!?
2)La CC!?
3)La CAF CUP!?
Kipofu kaona jua sasa mtaani hapatoshi
Mjinga ni wewe ambaye hujui hata tafsiri na kirefu cha CAF. Inawezekana hata hujui kuwa TFF ni shirikisho ! 😁Unataka kutuaminisha kwamba CAF Cup ndio Kombe la Shirikisho?
Jinga kweli wewe, ndio maana tunaitwa mbumbumbu.
Dogo wa rageUJINGA NI KIPAJI.
Dogo wa rage kwenye 1 na 2UJINGA NI KIPAJI.