CAF wamethibitisha Simba hajawahi kufika final CAFCC

Wale waliodai ati Simba alicheza final ya CAFCL na Stella Abidjan 1993
CAF wenye mashindano wamekanusha

Hizi propaganda tu Abiola cup mbumbumbu wakaita final ya CAFCC View attachment 3317887
Angalia bingwa wa shirikisho mwaka 1993 ni nani? ujiulize alicheza na nani ?maana mabingwa wapo wameorodheshwa au nikupatie orodha ili ujinga ujinga ukutoke
.
 
Caf wamesema hii ni fainali ya kwanza - wakilenga confederation

Caf yeye baada ya kuyaunganisha--- kaanza kuhesabu upya mkuu
 
Caf wamesema hii ni fainali ya kwanza - wakilenga confederation

Caf yeye baada ya kuyaunganisha--- kaanza kuhesabu upya mkuu
Ni sahihi kwakuwa wamefanya hivyo baada ya mabadiliko.
 
Reactions: Lax
Wakati Simba anacheza Fainali ya Abiola Yanga ilikuwa haijaanzishwa ama vipi?

Kama Caf walianzisha kikombe na Simba akacheza fainali na Yanga hawakucheza moja kwa moja Simba anamzidi pakubwa Yanga kimataifa kwa sababu Simba Amecheza fainali mashindano mawili ya Caf Kuliko timu yoyote hapa Tanzania je hili mnabisha wana Yanga?
 
upo sahihi mkuu --- lakini wapi nimesema mimi ni yanga? --- jambo hili watu wanabishana kijingajinga tu kila siku sababu ya uelewa .

kundi kubwa tu wanaoponda na wanaotetea hawaelewi context zaidi ya ushabiki.

kwingine kote tupo sambamba
 
A
Kwa timu ipi uliyonayo ya kumfunga Berkane na kuchukua ubingwa?
Angalia livimba macho lingine!Hizi ngonjera tulikuwa tunasikia tokea mechi na Ahly Tripoli.Topic ya uzi ni nini?Au umedandia tu.Ndio mnakuja kupata mimba za utotoni kudandia dandia tu.
 
upo sahihi mkuu --- lakini wapi nimesema mimi ni yanga? --- jambo hili watu wanabishana kijingajinga tu kila siku sababu ya uelewa .

kundi kubwa tu wanaoponda na wanaotetea hawaelewi context zaidi ya ushabiki.

kwingine kote tupo sambamba
Wewe umekuwa kama kiwakilishi tu
Swali limeshafika kwa wenyewe.
 
Reactions: Lax
si km nyinyi mwaka wajuzi hamkulala,mmpo fainali ila bado unaumia na huo ukweli wa CAF
 
Wale waliodai ati Simba alicheza final ya CAFCL na Stella Abidjan 1993
CAF wenye mashindano wamekanusha

Hizi propaganda tu Abiola cup mbumbumbu wakaita final ya CAFCC View attachment 3317887
Yeah,
Kwa hiyo Simba imefika fainali mbili katika mashindano tofauti mawili ya vilabu vya Africa.
Hongera sana Simba
 
Reactions: Lax
CAF wamethibitisha Simba hajawahi kufika final CAFCC
Tarehe 27/04/2025, Simba walifika fainali ya CAFCC baada ya kuiondoa Stellenbosch ya South Africa katika nusu fainali kwa jumla ya mabao 1-0

Sasa ndugu inakuwaje unasema hawajawahi kufika fainali? Mbona wewo!
 
Wapo sahihi. Tangu hayo mashindano yapewe hilo jina bado Simba Sc hawajawahi kufika fainali.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…