Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 7,696
- 15,979
Muda sio muafaka tu furaha ya ushindi--- ila jambo hili lingetatuliwa mapema -- post ya caf isingekuja na machungu kwa mashabikiHii ndo hoja yangu
Mbumbumbu wamenishambulia mno
Kavurugwa mnooPumzika kwanza mtani.Simba keshatinga final.
utajijarishia utie aibu kwa wapangaji wenzio nyumba nzima inuke kinyesi.
mnoo,,,ana haha kama kuku anaetaka kutaga.Kavurugwa mnoo
Kawa km mwehu vile kaah
Basi tufanye sawa.Wale waliodai ati Simba alicheza final ya CAFCL na Stella Abidjan 1993
CAF wenye mashindano wamekanusha
Hizi propaganda tu Abiola cup mbumbumbu wakaita final ya CAFCC View attachment 3317887
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Utopolo inacheza mechi za kimataifa huko mtaa wa Gombani Kusini pemba
Think tanks za Makolokolo piwa 😄Pole sana kakaa... Unateseka na simba kuliko maisha yako , lala ujue brother
Yaani wewe una roho mbaya ya kichawi live kabisaa una chuki na simba mnooo
Leo hulali wewee una maumivu makali sana utaanzisha nyuzi mpk maji asubuhi wawe makini familia yako waweza jiua wewe maana stress zimekujaa hapo
Hizo picha hapo juu wewe ulikuwa bado kiunoni, hujafikiriwa hata kutolewa.....Wale waliodai ati Simba alicheza final ya CAFCL na Stella Abidjan 1993
CAF wenye mashindano wamekanusha
Hizi propaganda tu Abiola cup mbumbumbu wakaita final ya CAFCC View attachment 3317887
Makombe yanabadilishwa jina,Wale waliodai ati Simba alicheza final ya CAFCL na Stella Abidjan 1993
CAF wenye mashindano wamekanusha
Hizi propaganda tu Abiola cup mbumbumbu wakaita final ya CAFCC View attachment 3317887
Mashindaano yalibadilishwa jina na mfumo ila ni yale yale.Tatizo taifa hili ni la watu wajinga viongozi wa timu , mashabiki mpaka tff.
Makombe yalikua matatu
Simba alicheza lenye hadhi ya mwisho (tier 3)
Baadae lenye hadhi ya pili na tatu wakaunga(au kuvunja) kutengeneza hili shirikisho la sasa.
Lakini kuna baadhi ya mashabiki , timu yenyewe huwaambii kitu hapa.
Nilikuja kukata tamaa raisi ws tff huyu karia-- yanga walivofika fainali , akaswma hata simba alifika mwaka 93, bila ya kutoa ufafanuzi wowote
CAF katoa ukumbusho -- tuwe realistic
Hadhi ya pili halipo, Hadhi ya tatu ndio confederation ya sasa, Huu mfumo ni wa ulaya Caf wanaiga tu.Tatizo taifa hili ni la watu wajinga viongozi wa timu , mashabiki mpaka tff.
Makombe yalikua matatu
Simba alicheza lenye hadhi ya mwisho (tier 3)
Baadae lenye hadhi ya pili na tatu wakaunga(au kuvunja) kutengeneza hili shirikisho la sasa.
Lakini kuna baadhi ya mashabiki , timu yenyewe huwaambii kitu hapa.
Nilikuja kukata tamaa raisi ws tff huyu karia-- yanga walivofika fainali , akaswma hata simba alifika mwaka 93, bila ya kutoa ufafanuzi wowote
CAF katoa ukumbusho -- tuwe realistic
Kwa timu ipi uliyonayo ya kumfunga Berkane na kuchukua ubingwa?Sasa hivi jambo kubwa ni Simba kuleta ubingwa wa Africa Kwa mara ya kwanza. Utopolo wamesikia Simba anaanzia ugenini wamepagawa huko.