CAF wamethibitisha Simba hajawahi kufika final CAFCC

Pole sana kakaa... Unateseka na simba kuliko maisha yako , lala ujue brother
Yaani wewe una roho mbaya ya kichawi live kabisaa una chuki na simba mnooo
Leo hulali wewee una maumivu makali sana utaanzisha nyuzi mpk maji asubuhi wawe makini familia yako waweza jiua wewe maana stress zimekujaa hapo
 
Wale waliodai ati Simba alicheza final ya CAFCL na Stella Abidjan 1993
CAF wenye mashindano wamekanusha

Hizi propaganda tu Abiola cup mbumbumbu wakaita final ya CAFCC View attachment 3317887
Tatizo taifa hili ni la watu wajinga viongozi wa timu , mashabiki mpaka tff.

Makombe yalikua matatu
Simba alicheza lenye hadhi ya mwisho (tier 3)

Baadae lenye hadhi ya pili na tatu wakaunga(au kuvunja) kutengeneza hili shirikisho la sasa.

Lakini kuna baadhi ya mashabiki , timu yenyewe huwaambii kitu hapa.

Nilikuja kukata tamaa raisi ws tff huyu karia-- yanga walivofika fainali , akaswma hata simba alifika mwaka 93, bila ya kutoa ufafanuzi wowote


CAF katoa ukumbusho -- tuwe realistic
 
Hii ndo hoja yangu
Mbumbumbu wamenishambulia mno
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…