Mashabiki wa Yanga na Simba wa miaka hii hovyo kweli...
Zamani Simba au Yanga zikicheza mechi za kimataifa zilikuwa zinasaidia kuanzia ufundi hadi ushabiki...
Ujadi wa timu hizi ulikuwepo ndani ya nchi tu au ligi ya muungano au kombe la EAC na ni hadi pale zinapokutana zenyewe...
Leo hii Yanga kapoteza kwa waarab, kuna vimburukutu wanaojiita mashabiki wa Simba wanashangilia kwa mbwembwe kama makalio yanayoshusha uharo...
Sijui utaifa wenu upo wapi? Sijui utani wenu wa jadi upo wapi?
nimeamini washabiki wa simba ni washamba saaaaaaanaaaaaaaaaaaaaaaa, wanaishi kutegemea uchaaaaaawiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
nina presha mpk kusema siwezi yaa lalmaulaa elyuum yanga abkaaniy bukaa a laa ansaa kikweli sijafurahia matokeo km vile ambavyo sijajutoa kupoteza nauli kwenda misri na kurudi
My Foot...Utaifa uko kwenye timu ya taifa
Yaani nipoteze mda eti kuitakia Yanga ishinde?? ntakuwa kichaa
Yanga waishangilie Manji na Bin Kleb
Nashukuru saaaaaana wamepigwa
Manake wangeendelea tu kutumia pesa na wasingefika popote
Kwanza Al Ahly wenyewe wabovu.
Kukubali kufikishwa kwenye matuta na timu mbovu kama Yanga ni upuuzi.
Yanga saizi yao ni Ruvu Shooting.Mkija kwa Simba tunawagonga saba this time
unalo hilo!mnyama kasuluhu sokoine
Hawaji leo humu kandambili.WAPI STEVE!
Kwa wale waliobahatika kuona mechi ya Yanga na Al ahly uwanja wa taifa DSM na ile ya marudiano iliyofanyika jana na kuoneshwa moja kwa moja na Al ahly TV, bila kujali ushabiki watakubaliana na mimi kuwa Yanga walijitahidi kuonesha soka la hali ya juu katika mechi zote mbili. Kama wataendelea hivi bila migogoro na siasa za bongo, wanaweza kufika mbali maana wamepiga boli kama la Arsenal, Bacelona, Bayan Munich na au Real Madrid. Ingawa wametolewa kwa penati, mpira waliouonesha ni wa kiwango cha hali ya juu. Ninaomba wana Yanga na viongozi wasimwandame mchezaji aliyekosa penati ambayo ingewapa ushindi kwani hilo ni tukio la kawaida katika michezo hata kina Ozil, Christiano Ronaldo, Baloteli nao huwa wakati mwingine wanakosa penati. WELL DONE YANGA!

Well done yanga
Ngoja waludi ktk ligi yao wanaposhinda mechi kwa kuhonga mifweza timu pinzani....
Mlienda kujitahidi au kutafuta ushindi na kuvuka hatua?
A na B yote majibu
Poleni sana ...karibuni nyumbani tuandike katiba mpya...nyie ni wa hapa hapa tu...saizi yenu Ruvu Shooting na Wavuvi wa Commorro...Yanga wana bore sana...timu dhaifu kama ile wanashindwa kuifunga
Unacheza! Kama Simba kashindwa kumfunga Prisons wa Mbeya unategemea Yanga amfunge bingwa mtetezi?