CAF Champions League

kipa wa yanga kapewa kadi ya njano kwa kuchelewesha mpira
 
Come on Yanga wapigeni ubaya hawa Waarabu
 
Wachezaji wa yanga bado utulivu sifuri...hawachezi hata pasi kabisa...wanapoteza mipira....ni kama hawajiamini
 
Huyu Okwi sio yule alikuwa simba kabaki jina tu naona hana mchango wowote leo angetoka tu kwani hakuna sub ya maana nje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…