CAF Champions League

Kudadadeki Kocha wa Al Ahly kitu kinagonga ...anaona muda unaenda ngoma bado 0-0
 
Ila hawa Waarab last week tungeliwafunga bao mbili tu, leo wasingekuwa na matumaini
 
Wale wa dstv, channel namba ngapi wanaonyeshha huu mpira?
 
Kucheza bila mashabiki ni advantage sana kwetu
 
Yanga inaweza kuwatoa hawa waarabu kwa mpira huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…