jamani nawashukuruni woteeeeeee kwa umoja wenu! nimefarijika sana maana jf ni familia yangu pia! nimerudi jana toka upareni, babu tumempumzisha vema, MUNGU wetu ashukuriwe! ahsanteni sana kwa kutufariji wakati wa msiba, kuwa nami mpaka mwisho, mbarikiwe sana! wengine wote kimwili hamkufika lakini sala zenu zilikuwa pamoja nami NASEMA TENA AHSANTENI! NAWAPENDENI WOTEEEE! SALA ZENU TU KWAAJILI YA MAMANGU! ni kupimwa imani, lakini MUNGU YUPO UPANDE WAKE, VITA YA DUNIANI ATAISHINDA! ahsanteni tena!