Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,194
- 297
Inaelekea hiki kikao kimeibuka mbio-mbio ndio maana Karume hakuwahi O/W kama kikao cha kwanza angetakiwa awepo. Kulikuwa na habari kuwa EL ndiye aliyekuwa anasukuma vikao na maamuzi mengi kwenye baraza la mawaziri. Mawaziri wote wakawa wanamuogopa hata kama walikuwa hawakubaliani naye. Mh. Pinda inatakiwa awe very proactive na asimsubiri JK katika kusukuma mambo kwani, kama ilivyofahamika toka awali akiwa mambo ya nje, uswahili umemtawala sana JK na kwake muda sio issue.
Mkuu,mikutano kila wiki tena!!?? Hawa ni Viongozi wa Kitaifa aisee,siyo Shule za Msingi.Kama huu ndio utendaji wa serikali ya JK, sijui hiyo kasi mpya alikuwa anamaanisha kitu gani. Nilidhani cabinet ingekuwa inakutana kila wiki but it seems JK huo muda hana. Tutafika kweli.
Angalia picha na malezo hapo chini
Mkuu, Naona na Dr.(Makamu wa Raisi)naye yupo! au ni kwakuwa kilikuwa kikao cha kwanza tangu Baraza jipya kuundwa?? hebu Wanazuoni tupeni Msaada kidogo.Hawezi kuingia hadi ale kiapo cha Baraza la Mawaziri...
As mswahili I am deeply offended na your choice of words. Mind you team ya waswahili ni kubwa mno humu JF na hatushindwi kujibu mapigo
Mkuu,mikutano kila wiki tena!!?? Hawa ni Viongozi wa Kitaifa aisee,siyo Shule za Msingi.
Alafu Karume(Rais) naye kwenye Baraza la Mawaziri tena!! Wakubwa wa mambo ya 'Protokali' hebu saidieni kidogo
Mkuu,mikutano kila wiki tena!!?? Hawa ni Viongozi wa Kitaifa aisee,siyo Shule za Msingi.
Alafu Karume(Rais) naye kwenye Baraza la Mawaziri tena!! Wakubwa wa mambo ya 'Protokali' hebu saidieni kidogo
HAUX KAKA VIPI MAMBO YA NCHI WAYAJUA??...RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI NA MAKAMU WA MWENYEKITI WA CCM..NA AMIRI WA VIKOSI VYA SMZ....ni mjumbe wa baraza la mawaziri na before assuming those responsibilities lazima ale kiapo kama kina hawa ghasia walivyoapa mbele ya kikwete na katibu wa rais....MARA ZOTE HILI LIMEKUWA LIKILETA UBISHI KARUME HATA SALMIN WAMEKUWA WAKIDODGE SANA HIVI VIKAO..WANAONA HADHI YA ZANZIBAR KAMA NCHI INASHUSHWA ...HII NAYO NI MOJA YA KERO ZA MUUNGANO.....MWAKA JUZI KARUME ALIGOMA KUAPISHWA NA KIKWETE NA ILIBIDI AAPISHWE BAADAYE NA JAJI MKUU [KAMA RAIS ]..KWENYE CEREMONY AMBAYO HAIKUTANGAZWA SANA!!!!
Mkuu P.Mikael,nashukuru sana kwa Ufunuo huu,na ni kweli kuna kutoeleweka kwa baadhi ya mambo ya Kikatiba/Kiprotokali haswa inapokuja ktk swala la Muungano....RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ..NA AMIRI WA VIKOSI VYA SMZ....ni mjumbe wa baraza la mawaziri na before assuming those responsibilities lazima ale kiapo kama kina hawa ghasia walivyoapa mbele ya kikwete na katibu wa rais....MARA ZOTE HILI LIMEKUWA LIKILETA UBISHI KARUME HATA SALMIN WAMEKUWA WAKIDODGE SANA HIVI VIKAO..WANAONA HADHI YA ZANZIBAR KAMA NCHI INASHUSHWA ...HII NAYO NI MOJA YA KERO ZA MUUNGANO.....MWAKA JUZI KARUME ALIGOMA KUAPISHWA NA KIKWETE NA ILIBIDI AAPISHWE BAADAYE NA JAJI MKUU [KAMA RAIS ]..KWENYE CEREMONY AMBAYO HAIKUTANGAZWA SANA!!!!
Nimesikitishwa sana na viti vinavyotumiwa na ukumbi wenyewe, unaonekana hauna sifa ya kuhold cabinet meeetings, inakuwa kama ni sehemu ya kikao cha maandalizi ya harusi, mavazi yenyewe yanaonesha kama watu hawako seriuos, just my opinion.
Kwa nchi kama Tanzania naona hakuna haja ya cabinet kukutana mara kwa mara kwa sababu hakuna issues kubwa za kuongea. Ila ni vizuri kama kungekuwa na sub cabinet meetings za kufast track mambo mtambuka kwa wizara mbalimbali, that way mambo yanaweza kuwa yanaenda vizuri. Kazi hasa inafanyika on the ground, mikutano mingi inakuwa ni politiki zaidi kuliko utendaji!
Yani nimegundua humu ndani kuna watu wengine wanabwabwaja, eti cabinet haina kazi yakufanya. that is such non-sense.. Maamuzi yote ya uendeshaji wa nchi wa day to day unafanyika Cabinet... unashuhulikiwa na Cabinet secretariat. Mawaziri wanachangia mada mbali mbali kuhusu the many issues that arise. It is held once every thursday... Most of the Time Ikulu DSM, Dodoma Chamwino when the House is in session. This is the way in most countries especially in the commonwealth. UK in every tuesday number 10.
Mjinga mmoja ameongelea mavazi, eti hayako serious!!! HA!!?? Yani vapour vapour... siamini wanaJF wengine wanachangia mvuke badala ya MADA... About the issue of Karume, it is true kwamba jamaa bado hajaa apishwa na anaona uzushi kuapishwa na Rais... From the point of view of Zanzibar's autonomy..or semi-autonomy.. He is right... Inaishusha hadhi SMZ, and these are amongst the issues being raised kwenye Mambo ya Muungano..
Hivi mbona mnakuwa kama walevi?
mnajadili KATIBA ya ZANZIBAR wakati hakuna aliyeuona mkataba wa MUUNGANO sasa kama kweli mko serious leteni mktaba wa MUUNGANO kisha tuta move on kwenye ajenda hizi zinginezo
maana kuna tatizo la legality ya muungano wenyewe