Cabinet Meeting......a month later and Karume Missing??

Kubwajinga

JF-Expert Member
Jan 23, 2008
2,194
297
Kama huu ndio utendaji wa serikali ya JK, sijui hiyo kasi mpya alikuwa anamaanisha kitu gani. Nilidhani cabinet ingekuwa inakutana kila wiki but it seems JK huo muda hana. Tutafika kweli.

Angalia picha na malezo hapo chini

Karume missing from key cabinet meeting: President Jakaya Kikwete (left) chairs the first formal cabinet meeting at State House yesterday since naming the new ministerial line-up last month. The empty seat on the president's left hand side draws attention to the conspicuous absence of President Amani Abeid Karume, who was yesterday reported to be in Zanzibar.
SOURCE: ThisDay 13/03/2008
 
Attachments

  • Kikwete Cabinet - main.jpg
    Kikwete Cabinet - main.jpg
    44.3 KB · Views: 202
Karume missing from key cabinet meeting: President Jakaya Kikwete (left) chairs the first formal cabinet meeting at State House yesterday since naming the new ministerial line-up last month. The empty seat on the president's left hand side draws attention to the conspicuous absence of President Amani Abeid Karume, who was yesterday reported to be in Zanzibar.
SOURCE: ThisDay 13/03/2008

Inaelekea hiki kikao kimeibuka mbio-mbio ndio maana Karume hakuwahi O/W kama kikao cha kwanza angetakiwa awepo. Kulikuwa na habari kuwa EL ndiye aliyekuwa anasukuma vikao na maamuzi mengi kwenye baraza la mawaziri. Mawaziri wote wakawa wanamuogopa hata kama walikuwa hawakubaliani naye. Mh. Pinda inatakiwa awe very proactive na asimsubiri JK katika kusukuma mambo kwani, kama ilivyofahamika toka awali akiwa mambo ya nje, uswahili umemtawala sana JK na kwake muda sio issue.
 
As mswahili I am deeply offended na your choice of words. Mind you team ya waswahili ni kubwa mno humu JF na hatushindwi kujibu mapigo
 
Kama huu ndio utendaji wa serikali ya JK, sijui hiyo kasi mpya alikuwa anamaanisha kitu gani. Nilidhani cabinet ingekuwa inakutana kila wiki but it seems JK huo muda hana. Tutafika kweli.

Angalia picha na malezo hapo chini
Mkuu,mikutano kila wiki tena!!?? Hawa ni Viongozi wa Kitaifa aisee,siyo Shule za Msingi.
Alafu Karume(Rais) naye kwenye Baraza la Mawaziri tena!! Wakubwa wa mambo ya 'Protokali' hebu saidieni kidogo
 
As mswahili I am deeply offended na your choice of words. Mind you team ya waswahili ni kubwa mno humu JF na hatushindwi kujibu mapigo

Pole sana GT. Hapa USWAHILI umetumika kama cliche ya tabia ya JK na sio kama kabila (jumuiya). Tuwiane radhi hii lugha ngumu wakati mwingine.
 
Mkuu,mikutano kila wiki tena!!?? Hawa ni Viongozi wa Kitaifa aisee,siyo Shule za Msingi.
Alafu Karume(Rais) naye kwenye Baraza la Mawaziri tena!! Wakubwa wa mambo ya 'Protokali' hebu saidieni kidogo

Kila wiki haishindikani kwa nchi ndogo kama ya kwetu kama kweli tunataka kutrack progress ya yale tunayofanya. Lakini hata kama itakuwa ni nyingi, sidhani kukaa bila kuongea na timu yako mpaka zaidi ya mwezi mmoja baada ya kuwapa ofisi ni dalili za utendaji mzuri. Efficiency ni pamoja na kujua nini kinaendelea chini yako na pembeni yako.
 
Nimesikitishwa sana na viti vinavyotumiwa na ukumbi wenyewe, unaonekana hauna sifa ya kuhold cabinet meeetings, inakuwa kama ni sehemu ya kikao cha maandalizi ya harusi, mavazi yenyewe yanaonesha kama watu hawako seriuos, just my opinion.
Kwa nchi kama Tanzania naona hakuna haja ya cabinet kukutana mara kwa mara kwa sababu hakuna issues kubwa za kuongea. Ila ni vizuri kama kungekuwa na sub cabinet meetings za kufast track mambo mtambuka kwa wizara mbalimbali, that way mambo yanaweza kuwa yanaenda vizuri. Kazi hasa inafanyika on the ground, mikutano mingi inakuwa ni politiki zaidi kuliko utendaji!
 
Mkuu,mikutano kila wiki tena!!?? Hawa ni Viongozi wa Kitaifa aisee,siyo Shule za Msingi.
Alafu Karume(Rais) naye kwenye Baraza la Mawaziri tena!! Wakubwa wa mambo ya 'Protokali' hebu saidieni kidogo

HAUX KAKA VIPI MAMBO YA NCHI WAYAJUA??...RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI NA MAKAMU WA MWENYEKITI WA CCM..NA AMIRI WA VIKOSI VYA SMZ....ni mjumbe wa baraza la mawaziri na before assuming those responsibilities lazima ale kiapo kama kina hawa ghasia walivyoapa mbele ya kikwete na katibu wa rais....MARA ZOTE HILI LIMEKUWA LIKILETA UBISHI KARUME HATA SALMIN WAMEKUWA WAKIDODGE SANA HIVI VIKAO..WANAONA HADHI YA ZANZIBAR KAMA NCHI INASHUSHWA ...HII NAYO NI MOJA YA KERO ZA MUUNGANO.....MWAKA JUZI KARUME ALIGOMA KUAPISHWA NA KIKWETE NA ILIBIDI AAPISHWE BAADAYE NA JAJI MKUU [KAMA RAIS ]..KWENYE CEREMONY AMBAYO HAIKUTANGAZWA SANA!!!!
 
Hivi, hata kikao cha juzi cha Kamati Kuu nacho Karume alihudhuria? Maana kuna taarifa kuwa hata suala la muafaka limeleta m,pasuko mkubwa miongoni mwa viongozi wa CCM, SMZ na Serikali ya Muungano
 
...RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ..NA AMIRI WA VIKOSI VYA SMZ....ni mjumbe wa baraza la mawaziri na before assuming those responsibilities lazima ale kiapo kama kina hawa ghasia walivyoapa mbele ya kikwete na katibu wa rais....MARA ZOTE HILI LIMEKUWA LIKILETA UBISHI KARUME HATA SALMIN WAMEKUWA WAKIDODGE SANA HIVI VIKAO..WANAONA HADHI YA ZANZIBAR KAMA NCHI INASHUSHWA ...HII NAYO NI MOJA YA KERO ZA MUUNGANO.....MWAKA JUZI KARUME ALIGOMA KUAPISHWA NA KIKWETE NA ILIBIDI AAPISHWE BAADAYE NA JAJI MKUU [KAMA RAIS ]..KWENYE CEREMONY AMBAYO HAIKUTANGAZWA SANA!!!!
Mkuu P.Mikael,nashukuru sana kwa Ufunuo huu,na ni kweli kuna kutoeleweka kwa baadhi ya mambo ya Kikatiba/Kiprotokali haswa inapokuja ktk swala la Muungano.
Kwa mfano:1. Kwakuwa Zanzibar ni Sehemu ya Inayoifanya TANZANIA,sasa kulikoni kuna wimbo wao wa TAIFA?.
2.Kwanini Raisi wa Zanzibar naye ana Bendera yake?na zaidi ktk heyo NEMBO hakuna hata chembe inayo ashiria Muungano?
3.Leo Raisi wa Jamuhuri Akienda Zanzibar iwe ni ktk shughuli ya Kisiasa,Kitaifa, Hufikia Hotelini, na Si IKULU ya Zanzibar?
4.Ktk kuadhimisha sherehe za MAPINDUZI Zanzibar,Raisi wa Zanzibar huwa ndiye MKUU wa shughuli hiyo,Actualy anapowasili Kwenye Eneo la Shughuli Raisi wa JAMUHURI YA MUUNGANO husimama kwa kuashiria HESHIMA kwa ujio wa RAISI wa ZANZIBAR??

**Naelekea kufikiri kuwa kama Commando(Salmin)angilifanikiwa kubakia Madarakani,basi huu 'Muungano' ungewekwa WAZI zaidi kwa Manufaa ya Wengi kama MIMI.
 
Yani nimegundua humu ndani kuna watu wengine wanabwabwaja, eti cabinet haina kazi yakufanya. that is such non-sense.. Maamuzi yote ya uendeshaji wa nchi wa day to day unafanyika Cabinet... unashuhulikiwa na Cabinet secretariat. Mawaziri wanachangia mada mbali mbali kuhusu the many issues that arise. It is held once every thursday... Most of the Time Ikulu DSM, Dodoma Chamwino when the House is in session. This is the way in most countries especially in the commonwealth. UK in every tuesday number 10.

Mjinga mmoja ameongelea mavazi, eti hayako serious!!! HA!!?? Yani vapour vapour... siamini wanaJF wengine wanachangia mvuke badala ya MADA... About the issue of Karume, it is true kwamba jamaa bado hajaa apishwa na anaona uzushi kuapishwa na Rais... From the point of view of Zanzibar's autonomy..or semi-autonomy.. He is right... Inaishusha hadhi SMZ, and these are amongst the issues being raised kwenye Mambo ya Muungano..
 
Nimesikitishwa sana na viti vinavyotumiwa na ukumbi wenyewe, unaonekana hauna sifa ya kuhold cabinet meeetings, inakuwa kama ni sehemu ya kikao cha maandalizi ya harusi, mavazi yenyewe yanaonesha kama watu hawako seriuos, just my opinion.
Kwa nchi kama Tanzania naona hakuna haja ya cabinet kukutana mara kwa mara kwa sababu hakuna issues kubwa za kuongea. Ila ni vizuri kama kungekuwa na sub cabinet meetings za kufast track mambo mtambuka kwa wizara mbalimbali, that way mambo yanaweza kuwa yanaenda vizuri. Kazi hasa inafanyika on the ground, mikutano mingi inakuwa ni politiki zaidi kuliko utendaji!

BongoL,
Nafikiri tuna uelewa tofauti wa mambo ya uongozi. Kiongozi mzuri wa kundi kubwa ni yule anayeweka malengo (goals) na jinsi ya kufuatilia utendaji (milestones). Sasa sijui kwa hiki kipindi cha mwezi mzima tokea waapishwe hawa waheshimiwa, walikuwa wanafanya nini kama mkuu wao hajaongea nao wa nini anategemea wafanye, individualy na collectively. Ukweli ni kwamba, tulichagua sura na gharama yake tutaiona 2010. Maana hapatakuwa na lolote la kusimulia alilofanya.
 
Yani nimegundua humu ndani kuna watu wengine wanabwabwaja, eti cabinet haina kazi yakufanya. that is such non-sense.. Maamuzi yote ya uendeshaji wa nchi wa day to day unafanyika Cabinet... unashuhulikiwa na Cabinet secretariat. Mawaziri wanachangia mada mbali mbali kuhusu the many issues that arise. It is held once every thursday... Most of the Time Ikulu DSM, Dodoma Chamwino when the House is in session. This is the way in most countries especially in the commonwealth. UK in every tuesday number 10.

Mjinga mmoja ameongelea mavazi, eti hayako serious!!! HA!!?? Yani vapour vapour... siamini wanaJF wengine wanachangia mvuke badala ya MADA... About the issue of Karume, it is true kwamba jamaa bado hajaa apishwa na anaona uzushi kuapishwa na Rais... From the point of view of Zanzibar's autonomy..or semi-autonomy.. He is right... Inaishusha hadhi SMZ, and these are amongst the issues being raised kwenye Mambo ya Muungano..

Nakubaliana na wewe kabisa mkuu. Kuna watu ambao vyama kwao imekuwa ni kama dini kwa hiyo hawawezi kuongelea maslahi ya taifa vema hata pale inapokuwa wazi kuwa kuna kasoro.
 
Hivi mbona mnakuwa kama walevi?

mnajadili KATIBA ya ZANZIBAR wakati hakuna aliyeuona mkataba wa MUUNGANO sasa kama kweli mko serious leteni mktaba wa MUUNGANO kisha tuta move on kwenye ajenda hizi zinginezo

maana kuna tatizo la legality ya muungano wenyewe
 
sasa GT hapa umenichanganya mimi na chimpumu changu hapa... kama hakuna mtu aliyeuona Mkataba wa Muungano ambao na wewe hauna (vinginevyo usingeomba watu waulete), umejuaje kuna tatizo katika Muungano? Halafu, kwanini uwatake watu wengine waulete, kwanini wewe usijitahidi kuuleta?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom