Cabinet CHADEMA

Chacha wangwe aliuliwa na mbowe baada ya chacha wangwe kupinga uchaga ndani ya chadema na pia wangwe kuhoji matumizi ya ruzuku ya chadema.
Mchaga akiua mtu uje sababu ni hela au ukabila. Hivi ndio vitu muhumu katika maisha yao.
 

Nina shaka na uwezo wako wa kufikiri.
 
Chacha wangwe aliuliwa na mbowe baada ya chacha wangwe kupinga uchaga ndani ya chadema na pia wangwe kuhoji matumizi ya ruzuku ya chadema.

Una uhakika?Unapingana na uchunguzi wa kisheria, una hatari kweli wewe kwa kusema usiyoweza kuyadhibitisha.Haya anayewalisha sumu wapiganaji CCM ni nani?
 
Chacha wangwe aliuliwa na mbowe baada ya chacha wangwe kupinga uchaga ndani ya chadema na pia wangwe kuhoji matumizi ya ruzuku ya chadema.
Ningekuwa mwanaintelejensia kama (IGP Mwema) wewe ungechukuliwa kuisaidia polisi maana inaonekana unaushahidi mzito juu ya kifo cha Wangwe, lakin cha ajabu wanaintelejensia badala ya kuwasomba watu kama wewe wanahangaika na viongozi wa CDM wanaotafuta ukombozi. Hizi intelejensia uchwara zinatucost sana.
 
Mchaga akiua mtu uje sababu ni hela au ukabila. Hivi ndio vitu muhumu katika maisha yao.

Ndugu ukilala ukiamka wachaga wanakuwasha kila eneo la mwili etieh? Pole sana coz they will keep on rule over U in or outside magamba party! Hata uko uliko ndo wanaokuongoza so pole endelea kubwabwaja ukidhani huyo kichwa nazi ndo anarule!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…