HATIMAYE CCM imekiri ya kuwa imeshindwa kwa zaidi y asilimia 53 na hawana haya ja kujisifu, kwani uchambuzi wa kweli unaonesha wazi kuwa mbunge wao atakua anaongoza watu wanaompinga kuliko wale wanaomuunga mkono.
Hukuna haja yeyoye ya kujisifu na matokeo haya, ukweli ni kwamba tumeshindwa vibaya sana na tunakubalika kwa asilimia 47 achilia mbali mizengwe na takrima tulizotumia kwa watu wa Igunga.Mfano ugawaji wa mahindi siku mbil kabla ya uchaguzi, ugawaji wa maji vijijini, BAKWATA mbinu na mkakati mingine isiyokua rafiki wa demokrasia.
Ukweli hawa jamaa wa CHADEMA wanakubalika sana na hatuna sababu ya kujigamba.Hatukubaliki na tunapoteza mwelekeo.
Ni kweli kabisa kwa kura ambazo wamepata chadema hawana budi kupongezwa makamanda kwa kazi nzuri,
ushauri umetoa mzuri sana natumaini utafika kwa walengwa nna kufanyiwa kazi.
people's...................................... power
Ujumbe umefika mbona Wasukuma hawajui kiswahili na wamepiga kura huko Igunga,hata kama kiswahili kibovu ujumbe umefikaWw hata kiswahili hujui ndio wataka kutupa ushauri gani sasa ? Craaaaaaaaaaaaaaaaaaaap !
Hivi ndicho walichokuwa wanakihitaji kwenye uchaguzi huu?
Pia CHADEMA nawaomba muwe mnaupdate website Yenu kwani haiendi na kasi ya habari zilivyo,wekeni watu full time kuapdate taarifa kwenye tovuti yenu ili iendendane na hadhi ya Tovuti ya chama imara chenye kujiandaa kushika dola hakuna shaka 2015 ikulu njia nyeupe hata kama Shekhe Yahya akifufuka kutabiri.
Nadhani mkuu pamoja na kujikita vijijini, wafanye jitihada za makusudi kuwahimiza watu kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura pindi kunapotokea nafasi ya maboresho. Ni kweli vijana wengi watakuwa hawakujiandikisha hapo awali kwa kukata tamaa, lakini kwa sasa wamehamasika sana na wanahitaji mabadiliko ya kweli.Ni kweli kabisa mkuu sasa chadema waanze kujikita vijijini na kufungua matawi itawasaidia sana
Nadhani sicho tu walichohitaji, walihitaji/tarajia ushindi. Lkn pamoja na hayo mafanikio waliyopata nazungumzia kuungwa mkono na raia zaidi ya 23000 wa Igunga still ni jambo la kujivunia ukizingatia hawakuwa na base kali sana before pale. Proves wananchi wengi wanachoshwa na ccm na wanaiamini CDM. Big up kwa mtoa thread na observation yake. Cabinet lichukulieni hili kwa umakini
Linganisha hizo na resources (human na financial) walizotumia halafu utumabie kama viko commensurate.
Wewe ni chama cha watu makini kufilisika mwiko. Mwaka 2005 mliona chopa mkaogopa mkaenda kuiba Benki kuu (EPA). Mwaka huu kwa Igunga tutawakamata mlikoiba tu nyie chama cha vibaka na majambazi>Tunajua mtakuja na sababu nyingi sana kuhusu kushindwa kwenu kwani mliyotegemea sivyo. Mmetumia hela nyingi sana zipatazo tshs 1.345bn kwenye uchaguzi huo, na kwa taarifa yako chama kwenye akaunti zake hakina kitu kimeishiwa ' kimefilisika'.