Google chrome
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 2,287
- 12,856
Soma programming language kutokana na mahitaji yako au unataka usome zote?
Ni muhimu mkuu lakini si lazima, nafikiri kwa sababu ni lugha na sio framework.Man ivi unajua pillars za almost every programming language zinatoka kwenye C yani ukisoma C itakua ni rahisi kwako kusoma programming language mpya.
Kuna tutorial ya JavaScript napitia, dakika ya 40 sasa sijapata kitu!
Hapana, ni vitu vipya kwangu.Au kwa sababu umeisikiliza kwa mda mrefu.
mama uko vizuriNamie nilianzaga hivi hivi...
Mdogo mdogo alhamdulillah kwa sasa niko vizuri.
Nilianza na C, nikaja Java. Then nikageukia web development (HTML, CSS, JavaScript, PHP).
Kisha nikaja Python (japo nilikosa project za kuifanyia nikaachana nayo).
Katika language zote, ilonitesa ikachukua muda wangu ni JavaScript aisee!
Namie nilianzaga hivi hivi...
Mdogo mdogo alhamdulillah kwa sasa niko vizuri.
Nilianza na C, nikaja Java. Then nikageukia web development (HTML, CSS, JavaScript, PHP).
Kisha nikaja Python (japo nilikosa project za kuifanyia nikaachana nayo).
Katika language zote, ilonitesa ikachukua muda wangu ni JavaScript aisee!
kwan JavaScript ina nn?...wewe ni kama mtu wa ngap akizungumzia jinsi alivyochukua mda kuisoma JavaScript.
me nlianza na c++,sasa hiv naihangaikia java ndio nije JavaScript
Syntax yake ilikua inanipa shida. Haiko neat. Hasa matumizi ya built-in functions and methods.
Habari zenu wana jamvi wa jf, namshukuru Mungu aliyetujaalia pumzi. Matumaini yangu mapambano (dhidi ya Covid-19) yanaendelea. Tukiachana na hayo katika kutaka kuingia kwenye mambo ya technology nimekumbwa na situation nyingi zinazohitaji coding, nikaona nisilaze damu nijifunze programming language mojawapo kati ya hizi C language au Python, ninaomba ushauri wenu je kwa mimi beginner at ground level nijifunze hipi. Nawasilisha
"I did not fail,I only stopped when it was not necessary"
mkuu, am total new to the game. Na ni asubuhi ya leo nimekata shauri nakuamua nianze kujifunza PYTHON. Mkuu unaoshauri wewote kwangu before cjachoma mafuta.
Sidhani kama ana haja ya kusoma haya yote unless yuko darasani.Namie nilianzaga hivi hivi...