C.E.O wa Mwendokasi hastaili kuwepo Ofisini

themagnificient

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
1,065
Reaction score
3,844
Nimetoka kushuhudia mtu kabanwa mkono na Malango analia kama mtoto hapa kisa masongamano wa watu ni mkubwa magari machache.

Ukienda Kivukoni pale vyoo vina wiki vimefungwa hamna huduma. Najiuliza hapa mjini mafundi walivyojaa kuna choo cha kuharibika kikose matengenezo?

IMG-20230705-WA0604.jpg

Mi nashangaa Rais Samia yupo Busy kutengua wakuu wa mikoa na Wilaya tu ila sehem nyeti kama hizi zinazogusa watanzania wengi ni kama haoni vile, hadi sasa Uongozi wote wa mwendokasi pale haustahili kuwepo kazini

Hebu fikiria Unafanya biashara kwenye njia ya peke yako miaka 8 sasa huna mpinzani, Faida unayopata unapeleka wapi? Hichi kitu Serikali inatakiwa itolee ufafanuzi mwendokasi Faida inaenda wapi

Kampuni kama Shabiby, Abood,Allys zipo kwenye Njia zenye ushindani ila kila mwaka zinamwaga basi za kutosha, hapa mjini kuna watu wanamiliki Daladala zipo kwenye njia zenye washindani ila wanatunza faida na wananunua magari mapya, Ni muda muafaka Mwendokasi watoe ufafanuzi pesa huwa wanapeleka wapi

Gari inashona abiria hadi milango inataka kupasuka alafu unapata faida na hununui Gari mpya uchawi upo
 
Rai yangu wale walinzi wawanunulie uniform mpya full kichwani hadi viatu iwe jukumu la ofisi na wapewe mara kwa mara.....wengi wanavaa nguo chakavu sana wamechomekea mikanda imebabuka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila kweliii yaan
 
Nimetoka kushuhudia mtu kabanwa mkono na Malango analia kama mtoto hapa kisa masongamano wa watu ni mkubwa magari machache.

Ukienda Kivukoni pale vyoo vina wiki vimefungwa hamna huduma. Najiuliza hapa mjini mafundi walivyojaa kuna choo cha kuharibika kikose matengenezo?

View attachment 2679416

Mi nashangaa Rais Samia yupo Busy kutengua wakuu wa mikoa na Wilaya tu ila sehem nyeti kama hizi zinazogusa watanzania wengi ni kama haoni vile, hadi sasa Uongozi wote wa mwendokasi pale haustahili kuwepo kazini

Hebu fikiria Unafanya biashara kwenye njia ya peke yako miaka 8 sasa huna mpinzani, Faida unayopata unapeleka wapi? Hichi kitu Serikali inatakiwa itolee ufafanuzi mwendokasi Faida inaenda wapi

Kampuni kama Shabiby, Abood,Allys zipo kwenye Njia zenye ushindani ila kila mwaka zinamwaga basi za kutosha, hapa mjini kuna watu wanamiliki Daladala zipo kwenye njia zenye washindani ila wanatunza faida na wananunua magari mapya, Ni muda muafaka Mwendokasi watoe ufafanuzi pesa huwa wanapeleka wapi

Gari inashona abiria hadi milango inataka kupasuka alafu unapata faida na hununui Gari mpya uchawi upo
Sasa hao ni abiria wa Kimara ,mbezi Morocco hali ipo hivyo najiuliza tu ikianza rasmi route ya Mbagala si watakufa Watu kabisa huko maana kule kuna Watu wengi ukijumlisha na wanaotokea Vikindu,kisemvule mkoa wa pwani wilaya ya Mkuranga. Kama hali itakuwa hivyo ile njia ya kilwa road isifunguliwe mpaka mabasi mapya yaletwe bila hivyo yaliopo yatapasuliwa kwa msongamoni pia Watu watakufa kwa kukosa hewa.

Halafu kuna ile mitabia ya hovyo ya madereva muda ambao abiria wanashida zaidi na usafiri wao ndiyo wanayapaki magari mpaka wanakaripiwa na viongozi wao.
Lakini okey Nunua Usafiri wako hata kama upo kwenye foleni unapumua vizuri .aaahaa aahaaa
 
Nimetoka kushuhudia mtu kabanwa mkono na Malango analia kama mtoto hapa kisa masongamano wa watu ni mkubwa magari machache.

Ukienda Kivukoni pale vyoo vina wiki vimefungwa hamna huduma. Najiuliza hapa mjini mafundi walivyojaa kuna choo cha kuharibika kikose matengenezo?

View attachment 2679416

Mi nashangaa Rais Samia yupo Busy kutengua wakuu wa mikoa na Wilaya tu ila sehem nyeti kama hizi zinazogusa watanzania wengi ni kama haoni vile, hadi sasa Uongozi wote wa mwendokasi pale haustahili kuwepo kazini

Hebu fikiria Unafanya biashara kwenye njia ya peke yako miaka 8 sasa huna mpinzani, Faida unayopata unapeleka wapi? Hichi kitu Serikali inatakiwa itolee ufafanuzi mwendokasi Faida inaenda wapi

Kampuni kama Shabiby, Abood,Allys zipo kwenye Njia zenye ushindani ila kila mwaka zinamwaga basi za kutosha, hapa mjini kuna watu wanamiliki Daladala zipo kwenye njia zenye washindani ila wanatunza faida na wananunua magari mapya, Ni muda muafaka Mwendokasi watoe ufafanuzi pesa huwa wanapeleka wapi

Gari inashona abiria hadi milango inataka kupasuka alafu unapata faida na hununui Gari mpya uchawi upo
Umenena vema, swala ni uwajibikaji na nani anamuwajibisha mwingine. Hii nchi hatuko serious kabisa, sasa effort zote za kuweka mwendokasi matunda yake yanakuwa ktk mtindo huu? Ni kama watu ili wapate kuwajibika wanataka washikiwe mitutu, upuuzi mtupu
 
kabisa yani
 
Back
Top Bottom