Miaka sita ya mwendokasi mmeshindwa kununua gari mpya kweli!? Aibu hii

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,146
11,192
Mod msiunganishe uzi wangu

Mabasi kama esther luxury,marangu coach ,bm coach, shabiby coach yanafanya biashara sehem zenye upinzani mkali lakini kwa miaka sita ambayo mwendokasi imeanzishwa, hayo mabasi nliyoyataja yana gari mpya za kumwaga

Mradi wa mwendokasi ambao hauna mpizani kwa miaka sita hawana gari mpya sana sana gari zimekufa na zinapungua, je faida wanayopata inapelekwa wapi?

Watu wanajazana kwenye magari kama viazi kwenye magunia, huu mradi anaeukwamisha ni nani

Ni muda muafaka serikali irudishe baadhi ya daladala kwenye njia amnbazo mwendokasi inafanya kazi,gari 100 haziwezi kuhudumia mamilioni ya watu hapa dar mnaumiza watu tu
 
Ila majumba Yao wamejenga
 
Serikali haitakiwi kufanya biashara huo mradi wampe mtu binafsi uone maboresho na ubunifu utaokuja.

Yani mabasi yanabaribika watu hawajali!
Katika miji yote mikuu miradi kama hii inaendeshwa na serikali kwa sababu faida yake haionekani moja kwa moja.
Watu wanatakiwa kufika maeneo yao ya kazi au biashara kwa muda sahihi na kuzalisha, kupitia uzalishaji huu serikali inapata kodi yake lakini ukimpa mtu hinafsi tatizo litarudi palepale kuna muda atasubiri hadi mabasi yajae ndipo aondoe gari matokeo yake watu wataoteza muda wa kufanya kazi .
Uingereza walijaribu kuwapa watu binafsi waendeshe huo mradi matokeo yake wakawanyang'anya
 
🤣🤣🤣
111444.jpg
 
Back
Top Bottom