Elections 2010 C. C. J

Wako wapi waanzilishi wa chama hiki?
Mzee mwana kijiji nadhani unajua mengi, tujulishe tafadhali.




japo mimi si Mzee mwana kijiji; najaribu hivi;
  • mwenyekiti - kyabo yupo ccm
  • katibu mkuu- muabhi (cck?)
  • msemaji- mpendazoe yupo chadema
  • endeleza...
 
hahaha...wewe unagusa kidonda kibichi! Mwanakijiji alipiga kelele hapa na ccj utadhani nini! Kweli watu ni wa ajabu sana! Nasubiri na yeye ajiunge nao...hehehehe!
 
Kwisha kazi viongozi wenyewe hawana msimamo njaa tu zinawasumbua
 
Mna wasiwasi tu... CCK ipo na inaendelea... ukiuliza "wako wapi" wapo walioondoka baada ya mambo kuwa magumu na wapo waliobakia na kujiunga na CCJ na kuanza kuijenga kuanzia chini kabisa.
 
Mna wasiwasi tu... CCK ipo na inaendelea... ukiuliza "wako wapi" wapo walioondoka baada ya mambo kuwa magumu na wapo waliobakia na kujiunga na CCJ na kuanza kuijenga kuanzia chini kabisa.

Mkuu will CCJ rise out of grave?
 
hata bado na utamaliza maneno ila rafiki yangu huu ni mwaka wenu wa kuangukia pua

Tunawangojea waandamane baada ya uchaguzi. Labda wafanye hayo maandamano huko huko Kimara lakini wakiingiza mguu Kinondoni na Ilala tunwapiga mawe tu. :becky: :becky: :becky:
 
Nachukua fursa hii kukupongeza kaka yangu Mtu wa pwani. Hawa Chadema wana ndoto za alinacha . Hivi Hawafahamu kuwa mgombea wao Dr SLAA ameshapoteza umaarufu kwa kiasi kikubwa. Dr JAKAYA KIKWETE ANAPETA.

Chagua Kikwete Oktoba 31, 2010
 
Dadakuona unajidanganya baada ya kushiba chai yako ya maandazi asubuhi hii. The wind of change is blowing.
 
Back
Top Bottom