BYSANGE nitafute tutete

Kumbe mwanangu bysange umepumzika humo, hatuambiani au siku hizi udugu unapungua.

Mimi siwezi kukusaliti hata siku moja wewe ndugu yangu wa damu, tuwe tunatambulishana tu
 
Last edited by a moderator:

Kidhuli kura na nduguyo
 
Last edited by a moderator:
Usimtishe bysange bana.

Mimi mashemeji zangu huwa nawaheshimu, Kiongozi wewe ukipata safari ya kikazi niache na shemeji yangu ukirudi utamkuta salama wasalmin

Hahahaahaaaaa hapo itakuwa ngumu kumeza kaka
 
Kumbe mwanangu bysange umepumzika humo, hatuambiani au siku hizi udugu unapungua.

Mimi siwezi kukusaliti hata siku moja wewe ndugu yangu wa damu, tuwe tunatambulishana tu

yote haya kasababisha mshana sikumuambia aweke hadharani yeye kaweka,nilikuwa nalwepa haya maswali
 
Last edited by a moderator:
Usimtishe bysange bana.

Mimi mashemeji zangu huwa nawaheshimu, Kiongozi wewe ukipata safari ya kikazi niache na shemeji yangu ukirudi utamkuta salama wasalmin
Hahahaaaaaaaaa shemejishemeju huku mwazima taa.mmmmmm
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…