Bye TALA: Kampuni ya Mikopo Tala yasitisha huduma zake Tanzania

Si kweli,kampuni zina wawekezaji halisi,Tala inafanya vizuri Sana india na Kenya ambako watu ni mabepari.Huwezi Leo unashida ya 30k halafu unasumbua watu wakati simu ni suluhisho na unajitegemea.Wabongo hatubebeki
Sasa wakashindwa kung'amua kwamba huku si Mabepari, wangefanya research kwanza.
 
alikuambia wamekuchukulia RB nini.
Walisema wanajua ni lipo na wamenipa masaa machache kabla ya saa kumi jion niwatumie... sasa lyf la chuo elf 40 ya haraka unaipata wap...? Nikaona isiwe kesi nikatupa line ila lile biti lilifanya nikazngua kwenye paper
 
Hahah wabongo kulipa ni matanga tena hela za mtandaoni! Mimi mwenyewe sometimes nakopa nipige tafu Voda nikitaka kuweka vocha inanilazimu niweke another simcard
 
Walisema wanajua ni lipo na wamenipa masaa machache kabla ya saa kumi jion niwatumie... sasa lyf la chuo elf 40 ya haraka unaipata wap...? Nikaona isiwe kesi nikatupa line ila lile biti lilifanya nikazngua kwenye paper
Pole sana kijana
 
Nakumbuka TALA walishawahi nikopesha pesa ili niongeze katika mpunga wangu nikale bata na mtoto mzuri

Lakini pia nasikitika maana nami nitakuwa nimeshiriki kufanya jamaa wagive kufanya kazi TZ....
 
kusema ukweli ulio wazi walikuwa wana saidia sana tena sana ila tu sisi hatuna shukrani.
jana nilikua nimebanwa kweli sina hata mia nikakopa branch dakika tano mbali wakanitumi, nyakati hizi kukopa 50000 kwa mtu kukupa labda awe mama yako mzazi, tena nae sio asilimia zote.
 
Back
Top Bottom