ndugu zangu hivi ni mimi tu sielewielewi hii thread?Lol haki ya nani naMute shahidi MICHELE au mamaNdenyi King'asti ni mke wa mtu,nilipenda nikapewa penzi haina swaga.
Smile nakupenda baby miaka 22 ni size yangu, Bishanga acha kujifanya mhaya, maxime melo ,,,mmh we ndo bishanga,IT hatulali,asprin tibu watu wape clorOkwin hahaha kejeli,Snow bal hahahaha nimekumiss ASHA Dii
Tena upite mbaali kabisa baba kwa hatua zilizonyooka kama rula. Sio ban ya jf tu, afu ujue Paw nimempa na password zote, hata inbox usipite.
Kutoka JF siyo mchezo, unaweza kukuta umefuka badala ya kutoka.ndugu zangu hivi ni mimi tu sielewielewi hii thread?
Picha huzungumza maneno elfu - Video maneno milioni:
ndugu zangu hivi ni mimi tu sielewielewi hii thread?
hahaha! Ama kweli fish are food not friends... Message delivered! Lol
Kutoka JF siyo mchezo, unaweza kukuta umefuka badala ya kutoka.
Yaani kama umetoa mpaka password basi napita kwa mbali kama mtu anayekuzwa na simba wa nyika!
Wifi, mie sijaona nyau akivua goldfish. By the way, mie ni nguva wala si goldfish
Amemla pale mwisho.. Lol. Paka mwenyewe huyo mvivu kabisa, wa hivo akiwa mwanadamu hata nguva hamsogelei, anamuona tu picha. hahaha
King'asti sina neno wala sikulaumu,nishakuambia nakupenda au mpaka nitangaze TBC AU STAR TV kuwa nampenda king'asti?
kweli naweze kuwa mshambuliaji halafu goli akafunga beki
Ila hajamvua, kama vile katupiwa kichwani? Mie nataka kuona akimvua na kumrarua mwenyewe.
Lol, kuwa nguva kuna raha yake wifi. Unajishaua na mihips yako tu.