Bye.......King'asti

Lol haki ya nani naMute shahidi MICHELE au mamaNdenyi King'asti ni mke wa mtu,nilipenda nikapewa penzi haina swaga.
Smile nakupenda baby miaka 22 ni size yangu, Bishanga acha kujifanya mhaya, maxime melo ,,,mmh we ndo bishanga,IT hatulali,asprin tibu watu wape clorOkwin hahaha kejeli,Snow bal hahahaha nimekumiss ASHA Dii
 
Last edited by a moderator:
Wifi King'asti popote ulipo pale naomba uniambie hapa kuna nini na kama kaka Paw ana habari... Mute mbona kama unajinunulia matatizo ujanani? Lol.

I am humbled by being missed by you. Pamoja saana.
 
Last edited by a moderator:
Yaani jamani huku duniani? Mute hebu nitafsirie hii dedication, manake my son akikataliwa na babake, and they have a nice bond believe me you; seriously i will be at your neck same way i'd been on those racist cops.
 
Last edited by a moderator:
Wifi, hivi wewe penzi langu kwa kakako umeliona kwa mbali tu. Lakini huyu kijana ningemuonjesha penzi angekuwa na ubavu wa kuniambia goodbye?

Kakako hana mashaka. Anajiamini, kama alipata kibali cha kukata utepe basi anajua yeye ndo mwenyewe wa kuufunga utepe upya Mungu akipenda.
Wifi King'asti popote ulipo pale naomba uniambie hapa kuna nini na kama kaka Paw ana habari... Mute mbona kama unajinunulia matatizo ujanani? Lol.

I am humbled by being missed by you. Pamoja saana.
 
Last edited by a moderator:

Sikuwa na wasi wasi ila bado niltaka kauli kwako... Tena hii 'bye' ni dalili nzuri saana. Ina maana kakutokea hadi kachoka mwenyewe.. Lol
 
You can run away but you cant hide. . . .
Nimepapenda hapo. At least we are able to say goodbye. I apprecoate being loved by you, lakini sitaki kukutapeli. Moyo wangu sinao, ulishatekwa kitambo. And i dont wish to have it back, becoz where I deposited it, it is well taken care of.

Thanks for the offer to cry on your shoulder if i need to. I assure you, if he ever make me cry, he makes sure that he wipes my tears with his tongue.

Lol, i wish we could just be friends.
 
King'asti bora umehusishwa na kiongozi Paw basi hufai hata kwa kulumangia kwa kachumbali!!! AshaDii ubarikiwe kwa kututoa matongotongo juu ya hili maana ni dhahiri shahiri ningevaba na kuanza kutandikwa kumbe sababu King'asti!!!!
 
Last edited by a moderator:
Asante wifi yangu kwa kuelewa. Sasa unaona anataka kumpakazia mpwa wako kuwa ni wake? Kweli ufitini ni ugonjwa mbaya sana.
Sikuwa na wasi wasi ila bado niltaka kauli kwako... Tena hii 'bye' ni dalili nzuri saana. Ina maana kakutokea hadi kachoka mwenyewe.. Lol
 
Tena upite mbaali kabisa baba kwa hatua zilizonyooka kama rula. Sio ban ya jf tu, afu ujue Paw nimempa na password zote, hata inbox usipite.
King'asti bora umehusishwa na kiongozi Paw basi hufai hata kwa kulumangia kwa kachumbali!!! AshaDii ubarikiwe kwa kututoa matongotongo juu ya hili maana ni dhahiri shahiri ningevaba na kuanza kutandikwa kumbe sababu King'asti!!!!
 
Last edited by a moderator:
Asante wifi yangu kwa kuelewa. Sasa unaona anataka kumpakazia mpwa wako kuwa ni wake? Kweli ufitini ni ugonjwa mbaya sana.

hahaha! Mie sinaga shida na matters of the heart, nafuata tu kauli za wahusika...

Companero kaharibu kabisa! Nafuta kauli,lol

Njia panda umeniacha wifi yangu... Companero huyu huyu wa JF? Kunani? Lol
 
King'asti bora umehusishwa na kiongozi Paw basi hufai hata kwa kulumangia kwa kachumbali!!! AshaDii ubarikiwe kwa kututoa matongotongo juu ya hili maana ni dhahiri shahiri ningevaba na kuanza kutandikwa kumbe sababu King'asti!!!!


Mkuu Rula umekuwa mtoro sana jf nini? Mbona hii common knowledge kabisa?! Lol Usijali tupo pamoja kabisa. Updates zaidi zitafuata...
 
Companero alikataza urafiki wa paka na samaki,lol

Companero would you be so kind ujaribu kunielewesha nini naambiwa hapa? Maana huyu wifi yangu anaruka ruka tu hata simwelewi! Lol.

Swali: Kuna ubaya gani paka na samaki wakijenga urafiki? :becky:

BTW King naanza kuwa na wasi an wewe...
 
Wifi wasiwasi gani tena jamani? Utavuruga amani ya wknd, taratibu. Kongosho njoo umueleweshe wifi jicho ambalo samaki huangaliwa na nyau.
Companero would you be so kind ujaribu kunielewesha nini naambiwa hapa? Maana huyu wifi yangu anaruka ruka tu hata simwelewi! Lol.

Swali: Kuna ubaya gani paka na samaki wakijenga urafiki? :becky:

BTW King naanza kuwa na wasi an wewe...
 
Last edited by a moderator:
mapenzi ni sawa na chupi ikitatuka mkanda haivaliwi tena
 
Companero alikataza urafiki wa paka na samaki,lol
Companero would you be so kind ujaribu kunielewesha nini naambiwa hapa? Maana huyu wifi yangu anaruka ruka tu hata simwelewi! Lol.

Swali: Kuna ubaya gani paka na samaki wakijenga urafiki? :becky:

BTW King naanza kuwa na wasi an wewe...

Picha huzungumza maneno elfu - Video maneno milioni:

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…