Aisee! Am learning!ODM, mimi na baba yangu tu marafiki sana. na mara nyingi mama akiniletea rabsha baba anani-deffend mbaya, lazima siku hiyo kitanuka. Bye Daddy, nakumbuka nilisema hayo wakati kwa mara ya kwanza natengana na wazazi wangu kwenda boarding school. Loh
Word!Anakupenda kwasababu unampenda.
Watoto wa kiume hua walaini kwa mama zao, na wa kike kwa baba zao. Ni ile attention ya 'different sex'. . .
Mama hua anaonekana mkali/mnoko kwa mtoto wa kike na baba kwa mtoto wa kiume. Ndio maana ni rahisi sana wa kiume kumkimbilia mama ikiwa atahisi baba anamuonea kuliko kumkimbilia baba hata kama mama atafanya kitu kile kile alichofanya baba. . hivyo hivyo kwa watoto wa kike. Yani wanaangalia past "malengo/matendo" na kuangukia kwenye utofauti wa jinsia kati yao na mzazi.Aisee! Am learning!
Word!
Hapo kwa red..... different sex ina-impact mpaka kwa watoto kumbe lol
Shem umenisisimuaje? manake dah!I see some bragging hapa ikichukua mkondo.....lol.... Message itafika kwa mama Matesha.
Katika Ulezi mara nyingi akina mama tupo strict saana kwa watoto hasa wa kike. Baba nae anaweza kua strict lakini sio kwa level za mama. Mimi kama mama - na hasa tokana na makuzi kua mtoto wa kike lazima a master kila kitu nyumbani.... Inakufanya utake the same for your kid. Utahakikisha wakapangia responsibilities tokana na level ya Ukubwa wake, toka kupika chai hadi kupika ugali, toka kusuza kikombe hadi kuosha vyombo, toka kufuta maji yalo mwagika to the level ya kupiga deki. Mara nyingi (for hata mimi ilikua hvio) unaona kama mama ni mnoko fulani, hakupendi, anapenda tu kukutumikisha na the like....
Baba yeye akiwa na mtoto wa kike anchowaza cha kwanza ni jinsi gani amtimizie binti yake asifanyiwe na ma bazazi yale yeye baba afanyavyo kwa watoto wa wenzie, ama dada wa wenzie na wanawake woote. Wanaume wengi wanaamini kua toka utoto akidhibiti penzi la mtoto wake wa kike na kumtimizia kila kitu mwanae walau ataepuka kikombe cha kurubuniwa huko mtaaani (Yes it helps to some extent) but ukweli unabaki pale pale no matter how she Loves you... She will eventually fall in love.... Kwa muktadha huo yeye binti huona kua baba is the best parent, lolote atakalo apewa, anadekezwa na baba anamjali na kumuulizia kila saa.... Tena sa ingine hata hua amwambia mama kua ampunguzie kazi.....
Na nature tu, wa kiume kwa mama wa kike kwa baba.... Mtoto wangu wa kiume.... ni mdogo, ana wivu huyo hataki kabisa mtu mwingine apate attention yangu hasa kama ni opposite sex.... anakua mkali kabisa na tu amri twa hapa na pale....
lolz..... ..!Shem umenisisimuaje? manake dah!
Nakumbuka kipindi mama yao aliposafiri, nlikuwa nikitoka job nawahi kumchuka tunaenda sehemu tunapata menyu.... chipsi kuku/mayai zilimkomaje? Basi ikawa kila siku anauliza mama atarudi lini, nikifikiri amemmisi ile mbaya...... ilipofika wakati sasa kuwa mama anarudi kesho nikasikia :"Ayaaa, si akaekae tena kidogo?" lol
Shem umenisisimuaje? manake dah!
Nakumbuka kipindi mama yao aliposafiri, nlikuwa nikitoka job nawahi kumchuka tunaenda sehemu tunapata menyu.... chipsi kuku/mayai zilimkomaje? Basi ikawa kila siku anauliza mama atarudi lini, nikifikiri amemmisi ile mbaya...... ilipofika wakati sasa kuwa mama anarudi kesho nikasikia :"Ayaaa, si akaekae tena kidogo?" lol
Babu bwana? Asa Mama Matesha atakukomaje kivipi??
Umenichekesha kweli yaani unawaza kumkomesha mama wa wat ukwanini lakini wewe mzee?????
Hapa sasa mzee...........yani kwamba yani, mama matesha yani kwamba dah!!!
sasa inamaana yani unataka kukomoa ili ukichelewa kwenye Feawei asikupigie.....yani kwamba......
asee.......bye daddy!!!