Hivi mengi alishalipa ile shilingi moja kwa yule alimuita fisadi papa..???Miaghay umenivunja mbavu. Nasikia sasatel ilishauzwa kwa sh. moja
King Kong III nilipoenda ofisini nikamkuta shostito mmoja kapaukaaaa, mh nikasema hii image inaonyesha hata mshahara wa November & Decemba hajapata. sikuona dalili ya facial scrub, kucha zimebanduka rangi nikajisemea kiruuu
mkuu, usipende kusitiriwa na utamu wa watu. kanga ya kuazima...hahaha nimemaanisha nishasitiriwa na wadau wameniazima utamu ndio maana niko hewani
Kuna hawa wanajiita SMILE naona nao watafuata nyayo za SASATEL.
mkuu, usipende kusitiriwa na utamu wa watu. kanga ya kuazima...