Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,356
- 20,132
Marioo achana na huu mpango wa kumshirikisha Mondi.
Huyu jamaa ukimshirikisha tuu umekwisha, ngoma itahit ndio lakini hautakuja utoe ngoma ingine ikafanya poa sokoni.
Ni wewe pekee kwa sasa unayetoa hit after hit, hakuna mwingine, sasa naona unaenda kujiloga.