Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,786
- 22,113
Ukisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
Tatizo lake inachemka sana hasa apps zikiwa on zoteKuna kitu inaitwa OPPO F9 mchina,icheki uone kama huyo iPhone atatia mguu hapo
Hatari tupuRésultats Google Recherche d'images correspondant à https://i.ytimg.com/vi/LqaSRD9wS-c/hqdefault.jpg 8ram 256gb hii sio fitina ni mauaji
Nimeongelea kwa upande wa mbinu za kishenzi... Wakati akifanya haya sio kuwa alikuwa haboreshi brand zake umeona P20? Sasa mada yangu haikuwa huko ulikotaja wewe... Hivyo kama hujaelewa muktadha ulijikita kwenye nini lazima uone funzaNimetafuta kote kwenye andiko lako kaka kuona jinsi gani China walivyo fanya mapinduzi kwa iphone katika nyanja zenye tija kama
-software development
-Durability
-Capacity
-Efficiency
(Na mengine kibao wataalam wa IT wakija watayaweka vizuri)
Lakini sijaona lolote miongoni mwa hayo zaidi ya mbinu za kimapinduzi zinazo husisha kashafa za tuhuma pekee ..
Kwa kuzingatia hayo yote yaliyotajwa , ningelipenda ku conclude kwa kusema kuwa. “Stori hii ina Funza”
-
Sio kweli mkuuTatizo lake inachemka sana hasa apps zikiwa on zote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zawadi ya xmas nimemnunulia Mtoto wa Baba iphone x aachane na itel yake...
Kwaiyo nisimpe mana akiwa anatumia ataonekana kama ana vina saba hapo juu[emoji3][emoji3]
anatafakari?wakati mkurugenzi wa huawei keshakamatwa canada na usa wamesema aende usa akashtakiwe huko,mchina amempiga mkwara mzito mcanada..Ukisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
Samsung siku hizi battery ziko vizuri mbonaKorea.... Kilichomuua Samsung ni battery
Trust me sio mimi nauza... Nisingeona shida kutangaza biashara, tuna group 4 za biashara WhatsApp na telegram... Sihitaji kufanya hivyo hapaSasa mbona bei juu mzee, hizi marketing effort zako nimezikubali sana bro! Umetumia kitu ambacho wataalamu tunaita "buzz marketing." Lazma hio iphone ipate mteja ila ungefanya 300k ingependeza zaidi maana ni simu za malaya tu kwa sasa.
Labda unatumia mobile hujafanya formatting nzuriMungu wangu... Hili ni andishi langu mwenyewe kwa asilimia [emoji817]
Kuna moja anayo rafiki yangu ina shida hiyo au kuna kitu kina shidaSio kweli mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unawafamu wachina au unawasikia?
IPhone 6 hiyo 64gb kwa 450 tuView attachment 973279
Is Chinese propaganda agentsNimetafuta kote kwenye andiko lako kaka kuona jinsi gani China walivyo fanya mapinduzi kwa iphone katika nyanja zenye tija kama
-software development
-Durability
-Capacity
-Efficiency
(Na mengine kibao wataalam wa IT wakija watayaweka vizuri)
Lakini sijaona lolote miongoni mwa hayo zaidi ya mbinu za kimapinduzi zinazo husisha kashafa za tuhuma pekee ..
Kwa kuzingatia hayo yote yaliyotajwa , ningelipenda ku conclude kwa kusema kuwa. “Stori hii ina Funza”
-
So kumbe iphone sio simu ya maana tena, ngj tuone kama mchina ataweza kuharibu market pande zote za duniaHapana trust me, siuzi wala kumiliki hiyo simu