Nakuunga mkono 100%Nakuhakikishia, ndani ya miaka 3, App Store ya Huawei itaizidi App Store ya iPhone ambayo ipo too restrictive! Huawei wakishatengeneza OS inayokubalika tu, developers accross the world wataja apps zao huko! Leo hii Android ndiyo yenye apps nyingi zaidi kuliko iOS kwa sababu, mosi hakuna restrictions to entry lakini pili, Android users ni wengi sana duniani! Sasa Am sure Huawei wakishapata OS ya uhakika, kampuni zingine za China zitahamia huko na hivyo kufanya watumiaji wa simu za OS husika kuwa wengi zaidi duniani na hatimae kuvutia developers wengi zaidi kutengeneza apps for Huawei App Store.
Unajua android ni OPEN SOURCE, so HUAWEI sidhani kama watakosa wataalamu ambao watatengeneza OS itakayokuwa very flexible kwa android developers kuamia huawei na pia hio OS iweze kurun apps za android zisizotumia GOOGLEPLAY SERVIVES so developers wengi watarudi tu tena kwa lazima ili kufuata market.Nakuhakikishia, ndani ya miaka 3, App Store ya Huawei itaizidi App Store ya iPhone ambayo ipo too restrictive to entry! Huawei wakishatengeneza OS inayokubalika tu, developers across the world watajaza apps zao huko! Leo hii Play Store ndiyo yenye apps nyingi zaidi kuliko iOS App Store kwa sababu, mosi hakuna restrictions to entry lakini pili, Android users ni wengi sana duniani! Sasa Am sure Huawei wakishapata OS ya uhakika, kampuni zingine za China zitahamia huko na hivyo kufanya watumiaji wa simu za OS husika kuwa wengi zaidi duniani na hatimae kuvutia developers wengi zaidi kutengeneza apps for Huawei App Store. Kwa mtindo huu, natoa miaka 5 kabla Google hajajikuta amebaki na Samsung na Google Pixel peke yao kama main consumers wa Android!
Ukisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
*uptodates*
Google yatangaza kuacha kufanya kazi na Kampuni ya Simu ya Huawei! Yasema imefuata amri ya USA
Leo mapema uko USA kampuni kubwa ya technology duniani google au unaweza kuiita alphabet,imetangaza kuacha kufanya kazi na kampuni ya kichina ya Huawei. Google wamesema simu zote za Huawei za zamani zitaendelea kupata technical support yaani android operating system,kwa muda fulani lakini...www.jamiiforums.com
Kisasi cha marekani cha kumnyima Android na chip za Intel kinawatosha wachina...
Hukuona alichofanya mmarekani? Between China sio Tanzania ujue.. Hilo nchi ni li kubwa mno jimbo moja pekee lina watu zaidi ya million 100 yani idadi ya watanzania wote mara 2daaah mkuu tafiti ya wapi hii ??? mm nipo china mwaka watatu sijarudi bongo ....wachina weng sana wanatumia iphone ...walimu wangu karibu wote wanatumia iphone ...huawei inatumika ila sio kwamba kila mtu anayo hapana bado wengi wana oppo ...Meizu ...vivo ...xiaomi na brand nyingne zinazokua lkn Apple zinatumika sna tena sana zaid ya sana hivyo naomba ufanye utafiti wa kina kabla ya kuja na uzi mkuu ... heshima yako lkn
Hukuona alichofanya mmarekani? Between China sio Tanzania ujue.. Hilo nchi ni li kubwa mno jimbo moja pekee lina watu zaidi ya million 100 yani idadi ya watanzania wote mara 2
Kuna majimbo hawajui nini kinaendelea Beijing au miji mingine mikubwa.... Walichokifanya watoa maamuzi walidili na high profilers
Mkuu, samahani, kwanza habari za siku nyingi? Sijaelewa hapo kwenye FUNZA, una maana inafundisha au funza mdudu? Please brother![/QUOTE]Mimi au?Kwa kuzingatia hayo yote yaliyotajwa , ningelipenda ku conclude kwa kusema kuwa. “Stori hii ina Funza”
Mimi au?Mkuu, samahani, kwanza habari za siku nyingi? Sijaelewa hapo kwenye FUNZA, una maana inafundisha au funza mdudu? Please brother!
Hukuona alichofanya mmarekani? Between China sio Tanzania ujue.. Hilo nchi ni li kubwa mno jimbo moja pekee lina watu zaidi ya million 100 yani idadi ya watanzania wote mara 2
Kuna majimbo hawajui nini kinaendelea Beijing au miji mingine mikubwa.... Walichokifanya watoa maamuzi walidili na high profilers
KOREAsamngis nazo si za china?
Sio kampeni ndogo kama unavyodhani ndugu yangu. Angalia idadi ya watu China nzima utaniambianasafiri miji mikubwa na midogo simu zinazotumiwa na wachina zaid ni IPHONE , vivo ., Meizu , xiaomi , huawei na makampuni mengine ya china ....ndio maana nikauliza tafiti ya wapi hii? ....Beijing nimakaa , Guangzhou nimekaa plus miji midogo IPHONE bado zinatumika sanaaa sanaaaa na wachina
Sio kampeni ndogo kama unavyodhani ndugu yangu. Angalia idadi ya watu China nzima utaniambia