Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Ukweli utabaki pale pale iPhone ni simu bora!sio bora simuUkisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
[emoji2][emoji2][emoji2]niliwahi miliki samsung galaxy ace 58...,batery ilikuwa ina kaa dk 20 kwenye intanet,nikanunua betri mpya kwa 30,000/ikawa inadumu dk 30..sina hamu..
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Unaweza kuwa china na usijue kinachoendelea
[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23]wewe toa mbili kamili
Apo unailinganisha na iphone gan mziki wa iphone hautafikiwa kiboya na ivo vimeo we!!!!!!Kuna kitu inaitwa OPPO F9 mchina,icheki uone kama huyo iPhone atatia mguu hapo
Kwahiyo unataka kusema kuwa samsung galaxy note 9 ukiiweka na iPhone Xs max..bado hakuna ulinganifu hapo??Hakuna simu ya kuzifananisha na iphone zote ni ushubwada tu ila kuusu fitna za wachina sikatai lakini kiubora wa simu IPHONE CHEZA NAYO MBALI AISEE
Note 9 ilinganishe na Xs mkuu Max moto mwengine usiangalie namba za ram angalia simu ubora wake mkuu hahaha iphone bado itasumbua sana yanKwahiyo unataka kusema kuwa samsung galaxy note 9 ukiiweka na iPhone Xs max..bado hakuna ulinganifu hapo??
Hii bei ngapi za kitanzania?
nachojua hata iphone inatengenezwa china,Ukisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
Ni mambo ya class nyie mabwege....nyie mnaongelea iphone feki......iPhone ina watu wake haiwezi kushuka hata siku moja....ni sawa na kusema eti Mac ishindane na Dell...au Mercedez Benz ishindane na Subaru? ...Huwezi kusema eti DSTV inakufa sababu ya kuwepo Azam TV, Star Times.....ni classes tofauti kabisa...nenda Mbagala au Buguruni kama utakuta mtu ana DSTV nyumbani kwake...hamjiongezi tu?siku hizi hizo iphone 6 bei imeporomoka kweli....ndio watu wanakuja kuturingishia huku mtaani
Sasa Mr. Mshana Jr Simu ya MALAYA na MACHANGUDOA bei kali sana, punguza bei MALAYA wajitokeze hapa fasta.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unawafamu wachina au unawasikia?
IPhone 6 hiyo 64gb kwa 450 tuView attachment 973279
That's hukunielewa... Angalia soko la iPhone China kama zinafanya vizuri
umesoma vizuri nilichokisema???Ni mambo ya class nyie mabwege....nyie mnaongelea iphone feki......iPhone ina watu wake haiwezi kushuka hata siku moja....ni sawa na kusema eti Mac ishindane na Dell...au Mercedez Benz ishindane na Subaru? ...Huwezi kusema eti DSTV inakufa sababu ya kuwepo Azam TV, Star Times.....ni classes tofauti kabisa...nenda Mbagala au Buguruni kama utakuta mtu ana DSTV nyumbani kwake...hamjiongezi tu?