Kwa sifa zako humu jukwaani mpk naogopa kukuquote ha ha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unawafamu wachina au unawasikia?
IPhone 6 hiyo 64gb kwa 450 tuView attachment 973279
Kuna kitu inaitwa OPPO F9 mchina,icheki uone kama huyo iPhone atatia mguu hapoUkisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
ulitaka kutype samsung mkuu kama ni samsung ni Koreasamngis nazo si za china?
Sasa mbona bei juu mzee, hizi marketing effort zako nimezikubali sana bro! Umetumia kitu ambacho wataalamu tunaita "buzz marketing." Lazma hio iphone ipate mteja ila ungefanya 300k ingependeza zaidi maana ni simu za malaya tu kwa sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unawafamu wachina au unawasikia?
IPhone 6 hiyo 64gb kwa 450 tuView attachment 973279
Résultats Google Recherche d'images correspondant à https://i.ytimg.com/vi/LqaSRD9wS-c/hqdefault.jpg 8ram 256gb hii sio fitina ni mauajiKuna kitu inaitwa OPPO F9 mchina,icheki uone kama huyo iPhone atatia mguu hapo
Basi zimekuwa kama Dstv mwanzo ilikuwa kwa wenye kipato kikubwa sasa naona hata wanyonge watamiliki[emoji23][emoji23][emoji23]yeah kuna mahali mdau kaweka... Ziko nyingi tu mbona
Hio ni mbinu tu ya kiintelijensia ya kuuza iphone 6 yake mtoa mada! Ha ha ha ina maana bado ujaelewa tu!Nimetafuta kote kwenye andiko lako kaka kuona jinsi gani China walivyo fanya mapinduzi kwa iphone katika nyanja zenye tija kama
-software development
-Durability
-Capacity
-Efficiency
(Na mengine kibao wataalam wa IT wakija watayaweka vizuri)
Lakini sijaona lolote miongoni mwa hayo zaidi ya mbinu za kimapinduzi zinazo husisha kashafa za tuhuma pekee ..
Kwa kuzingatia hayo yote yaliyotajwa , ningelipenda ku conclude kwa kusema kuwa. “Stori hii ina Funza”
-