Bye bye ios

MoneyHeist4

JF-Expert Member
Jul 10, 2017
1,572
2,000
Baada ya miaka kama 7 hivi kuwa mtumiaji mzuri wa ios phone (iPhone) hatimae huu mwaka nahitaji kujiondoa rasmi.

Sababu ya kujiondoa ni kutokana na kupangiwa baadhi ya mambo ikiwemo kunyimwa Uhuru kwenye chombo changu.

Maana siwezi kudownload Movie, Siwezi kudownload Nyimbo mbalimbali yaani wao ni mwendo wa Kula Bando Tu kila sehemu sasa nimeamua kujitoa rasmi.

Sasa Nimeamua kurudi kwenye Android zetu hizi zenye Uhuru wa kuifanya unavyotaka ila nimeshindwa kuchagua ni simu gani nzuri kuanzia utunzaji wa chaji, ubora wa Camera, na Speed ya internet kama 4G.

Nimejaribu kutembelea madukani nimekutana na Samsung nyingi lakini katika process ya kucheki specific zake nakutana na chip za MTK tu, nimeshindwa kuelewa inamaana siku hizi Samsung wameamua kuhamisha simu zao kutoka Qualcom Hadi kwenda Mtk. Na Mimi chip ya Mtk huwa siziamini kabsa.

Wadau naomba maoni yenu ni simu gani nzuri hapo

Oppo, Samsung, Nokia, Redmi.

Bajeti yangu ni Laki Tano.
 
4G LTE

JF-Expert Member
Aug 4, 2015
6,717
2,000
Kwanza kabisa naomba maaana ya Qualcom na MTK
Hizi ni SoC (System on Chip) yaani ni kama CPU kwenye computer... Ubongo wa simu yako upo hapa so masuala yote ya uendeshaji mifumo ya simu yako yanategemea na aina ya SoC iliyopo.... MTK hii ni chipset ya simu za bei nafuu aka midrange while hiyo nyingine ndio utaikuta kwenye highend devices japo ina madaraja yake ya midrange pia.

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
MoneyHeist4

JF-Expert Member
Jul 10, 2017
1,572
2,000
Kwanza kabisa naomba maaana ya Qualcom na

Hizi ni SoC (System on Chip) yaani ni kama CPU kwenye computer... Ubongo wa simu yako upo hapa so masuala yote ya uendeshaji mifumo ya simu yako yanategemea na aina ya SoC iliyopo.... MTK hii ni chipset ya simu za bei nafuu aka midrange while hiyo nyingine ndio utaikuta kwenye highend devices japo ina madaraja yake ya midrange pia.

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Mkuu Ahsante Kwa kumfafanulia

Sasa najiuliza nimecheki hapa Samsung A32 5G ina chip ya Mtk na ukiangalia Mtk nyingi kama Tecno zinavyozinguaga baada ya wiki Tu zinaanza kustack na kupostop app Nimeamua Nikimbilie humu nipate aghalau mwanga.
 
4G LTE

JF-Expert Member
Aug 4, 2015
6,717
2,000
Mkuu Ahsante Kwa kumfafanulia

Sasa najiuliza nimecheki hapa Samsung A32 5G ina chip ya Mtk na ukiangalia Mtk nyingi kama Tecno zinavyozinguaga baada ya wiki Tu zinaanza kustack na kupostop app Nimeamua Nikimbilie humu nipate aghalau mwanga.
Upo sahihi mkuu... Huwezi kuta mtk kwenye samsung S au note series... But zile za bei nafuu kama ulizotaja zina chip za mtk.. Tecno na infinix ndio nyumbani kwao

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
MoneyHeist4

JF-Expert Member
Jul 10, 2017
1,572
2,000
Simu kali siku hizi ni pesa yako tuu, kila mtu atakwambia HUAWEI, SAMSUNG, OPPO, REDM kali simu furani, ila uzuri wa sasa kila kampuni wanaweka ma battery ujazo mkubwa sana. 5000mAh ni za kufikia
Shida ni hizi Chip ndo zinakatisha tamaa unanunua simu leo baada ya wiki inaanza kustuck
 
kiboboso

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
7,480
2,000
Baada ya miaka kama 7 hivi kuwa mtumiaji mzuri wa ios phone (iPhone) hatimae huu mwaka nahitaji kujiondoa rasmi.

Sababu ya kujiondoa ni kutokana na kupangiwa baadhi ya mambo ikiwemo kunyimwa Uhuru kwenye chombo changu.

Maana siwezi kudownload Movie, Siwezi kudownload Nyimbo mbalimbali yaani wao ni mwendo wa Kula Bando Tu kila sehemu sasa nimeamua kujitoa rasmi.

Sasa Nimeamua kurudi kwenye Android zetu hizi zenye Uhuru wa kuifanya unavyotaka ila nimeshindwa kuchagua ni simu gani nzuri kuanzia utunzaji wa chaji, ubora wa Camera, na Speed ya internet kama 4G.

Nimejaribu kutembelea madukani nimekutana na Samsung nyingi lakini katika process ya kucheki specific zake nakutana na chip za MTK tu, nimeshindwa kuelewa inamaana siku hizi Samsung wameamua kuhamisha simu zao kutoka Qualcom Hadi kwenda Mtk. Na Mimi chip ya Mtk huwa siziamini kabsa.

Wadau naomba maoni yenu ni simu gani nzuri hapo

Oppo, Samsung, Nokia, Redmi.
Samsung zenye snapdragon zimejaa wewe umeenda maduka gani?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom