Ibrah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2007
- 2,729
- 528
- Thread starter
- #21
Mkuu Ibrah:
Bila TBC(1 or 2) kuwa na "Sports Channels" bado DSTv wataendelea "kula vichwa": Kwa ujumla "audience" ipo interested na:
1. Sports
2. Drama/Movies
3. Others
DSTv bado wanaongoza kwa item(s) 1 and 2.
Hilo la kwanza nakubaliana nalo lakini Drama/ Movies zipo za kutosha kupitia MGM na SVE.
TBC kuna Dicoveries na BBC kama ilivyo DStv. Ukiondoa hizo channels za michezo, kwa wenzetu ambao kwao michezo si kitu cha kuwafikirisha au kuwakosesha raha TBC is better off na ndiyo maana DStv wamepunguza bei kwa channels ambazo si za michezo maana pia waweza kuzipata kupitia TBC.