Bye bye bitter-sweet 2011..... whats u say??

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
Ni mwaka mbaya
nilijikuta namkosa nimpendae...... kanfanya nichukie ngono!!!!!

Mazuriii..
nimeipata gamba langu, shahada ya uhasibu na fedha.

Je wew???
 
Pamoja na yote!
Japo kwa uzima huu, ukilinganisha na misele niliyokuwa nayo hapa na pale....
Hapana lugha nyingine nayoweza kusema zaidi ya KUSHUKURU......
OK!! Mapenzi??? lol nadhani kwangu it's been great kwa kutumia formula yangu ya ease come ease go
 
nimeipenda hii,
"ease come,ease go"......

wacha nijaribisha this yr!!!!!!!!!""
 
Back
Top Bottom