Naomba ufafanuzi. Katiba yetu ina maelezo gani kuhusu uchaguzi mdogo (by-election)? Hivi ni kweli kwamba kama ikitokea opportunity ya by-election muda wowote ule, chama kinaruhusiwa kumsimamisha mgombea yeyote wanayetaka regardless of his place of domicile, mradi kwamba amepitishwa na Chama chake. Kama hivyo ni kweli, kwa wale wenzangu wanaom-support Dr. Slaa, basi upo uwezekano wa yeye kuingia bungeni kama (a) mojawapo ya hizi kesi zilizoko mahakamani zitamwengua mbunge aliyepitishwa au (b) kama mbunge yeyote ataacha for any reason. Je, hii assumption yangu ni correct? Naomba ufafanuzi.