Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 235
- 941
View attachment 3545966
Mwanasiasa machachari na aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, Senior Selemani Said Ally Bungara, maarufu "Bwege," ametangaza rasmi kujivua uanachama wa chama cha ACT Wazalendo kuanzia jana, Februari 18, 2026.
Katika taarifa yake aliyoitoa kwa umma, Bwege ameeleza kuwa uamuzi huo umetokana na hiyari yake mwenyewe kama mtu huru, baada ya kutafakari kwa muda mrefu na kugundua kuwa ACT Wazalendo si "rafiki sahihi" katika safari yake ya kisiasa kama alivyokuwa amefikiria awali.
Bwege, ambaye anajulikana kwa msimamo wake thabiti na lugha za mvuto majukwaani, amebainisha kuwa mwelekeo wa sasa wa ACT Wazalendo ni tofauti na matarajio yake, jambo lililompelekea kuamua kutafuta jukwaa lingine la kuendeleza mapambano ya kisiasa.
“ACT Wazalendo si rafiki sahihi kwangu, nilivyofikiria ni tofauti na nilivyohisi. Kuanzia sasa mimi si mwanachama wa ACT Wazalendo tena kuanzia tarehe 18/2/2026. Mengine nitaongea baadaye. Ninategemea kushirikiana na kulitumia jukwaa la CHADEMA katika siasa za kudai demokrasia na maendeleo la taifa langu nilipendalo-Tanzania”, ameandika Bwege.
Chanzo: Jambo TV
Uamuzi mzuriView attachment 3545966

acha kiburi cha uzima kenge weAmeamua kuungana na mabaga fresh wenzake!!
maskini dah,View attachment 3545966

Hujafa hujaumbika Shekhe hakuna aliyezaliwa vile bali hila za binadamu na mapenzi yake muweza wa yote hivyo kuwa na akiba ya maneno usikufuruAmeamua kuungana na mabaga fresh wenzake!!
Hizi dhihaka za uzima sio nzuri,muombe msamaha anayekupa pumzi upate kusameheka.Ameamua kuungana na mabaga fresh wenzake!!