Bwawa la Stiegler likijengwa, basi Rais wetu aendelee kama bonus!

2000mw + how much we using now since independence? Less than 2000. Now think, 2000mw in less than ten years, isn't that super power.
In May 2012, RUBADA signed a Memorandum of Understanding (MoU) The signing of the MoU allowed the Brazilian company to start reviewing results of a feasibility study conducted earlier by a Norwegian company, NORCONSULT in 1980 on a similar project that had since been shelved. The whole of the Rufiji Basin has the potential to produce 4,000 MW.<br /><br />Odebrecht Company Limited

Mwambie huyo potential ni 4000MW. Cahora Bassa msumbiji. 1920MW
Owen Falls Jinja 900 mw
 
Atoke ili aje mwingine akiwa na wazo jipya. Tuko wengi sana!
 
Hiko sio kigezo cha kujiita SUPER POWER, bali ni moja ya msingi kuelekea maendeleo kama tutaweza kupambana na kuweka mambo mengine sawa, "Tembea uone" kwanza hapo tumechelewa sana maana ilitakiwa tuwe na uwezo huo toka 1980 huko.

Bado kuna mambo mengi sana hayako sawa na tunahitaji nguvu ya ziada kuyaweka sawa ili kuyafikia maendeleo ya kweli.

Ilitakiwa tuwe dodoma, tuwe na reli, tuwe matajiri tokea 1970, ilitakiwa tupate uhuru 1960, all thats history. Nimetembea na nimeishi zaidi yako, hatua mia huanza na moja. Kwangu mimi hicho ni kigezo kikubwa tu, na huwezi nibadilisha mawazo.
 
Aidha wengi vijana umri mdogo au kumbukumbu hawana. Wazo la Stiegkers Gorge lilizimwa na mabeberu (nchi za magharibi zilivyokuwa zinaitwa enzi hizo) na hata kwenye maonyesho makubwa ya kibiashara yalioyafanyika Osaka Japan March 15 na September 13, 1970. Lilizimwa kabisa na halikutangazwa. Kwa wanaokumbuka Tanzania ilipeleka mambo mengine tu pamoja na Bendi ya Super Volcano ya Mbaraka Mwinshehe. Ikionekana ni mradi tishio barani Afrika. Nyerere aliambiwa huu mradi ni mkubwa mno kwake aachane nao. Sasa marais wote waliopita walijua hii habari wakafungia kabatini. Je ni jambo la busara kumwanbia JPM nae aachane nao?
 
...kama kweli tukijenga na kuzalisha umeme wa MW 2000 basi najua tumeshatoka na tutaitafuta double digit economic growth.

hawawezi, it is just smokescreen

Sumaye amesema huu mradi is a pipe dream, gumzo la Stiegler lilianza na Nyerere, hela kwanza hakuna, na muhimu zaidi kule Ruaha kunaenda kukauka anyway, feasibility study zilishakataa mahesabu kule...

Kama Rais wetu pamoja na Serikali yake wakifanikisha kutuingizia zaidi ya 2000 MW za Umeme kwenye Gridi yetu ya Taifa, basi kama wakipenda na kukubali kuendelea kuongoza baada ya 2025 na iwe hivyo, lkn kama wakipenda wenyewe kwani hiyo siyo kazi ya kitoto kwa nchi ya Kiafrika, Ethiopia wameweza lkn kwa ungangari haswa, hivyo kwangu mimi hiyo ni litmus test , kama kweli tukijenga na kuzalisha umeme wa MW 2000 basi najua tumeshatoka na tutaitafuta double digit economic growth.
Hiyo ni kazi kubwa na isiyo ya lelemama. Inawezekana kama kwenye haya mambo makubwa watanzania karibu wote tukaunganisha nguvu. Umeme wa ukiwa wakutosha tutaweza industrialization
 
Tunatakiwa kuwa na dira ya taifa ambayo Rais yoyote ajaye ata zisimamia ata kama ni wa upinzani ila kwa sababu tunaishi kwa ndoto ndio maana tunafikia huku kwa mleta uzi ukijinga mtu kuwa na Taifa linalo ishi kwa maono ya mtu mmoja!!!
 
Kama Rais wetu pamoja na Serikali yake wakifanikisha kutuingizia zaidi ya 2000 MW za Umeme kwenye Gridi yetu ya Taifa, basi kama wakipenda na kukubali kuendelea kuongoza baada ya 2025 na iwe hivyo, lkn kama wakipenda wenyewe kwani hiyo siyo kazi ya kitoto kwa nchi ya Kiafrika, Ethiopia wameweza lkn kwa ungangari haswa, hivyo kwangu mimi hiyo ni litmus test , kama kweli tukijenga na kuzalisha umeme wa MW 2000 basi najua tumeshatoka na tutaitafuta double digit economic growth.
Nadhani hii ndio iliompa ban
 
Samahani wadau ,kama kuna anaejua kampuni iliyoshinda Tender ya ujenzi wa hii stieglers gorge hydropower station anifahamishe .
Plz guys
 
Raisi kufanya maendeleo ni haki yake,mbona aliopita alifanya nae miradi mikubwa kama wa BRT, Akili ndogo za akina Juma Nkamia na genge lao waliomtuma,Je we ni mmoja wao?
 
Aidha wengi vijana umri mdogo au kumbukumbu hawana. Wazo la Stiegkers Gorge lilizimwa na mabeberu (nchi za magharibi zilivyokuwa zinaitwa enzi hizo) na hata kwenye maonyesho makubwa ya kibiashara yalioyafanyika Osaka Japan March 15 na September 13, 1970. Lilizimwa kabisa na halikutangazwa. Kwa wanaokumbuka Tanzania ilipeleka mambo mengine tu pamoja na Bendi ya Super Volcano ya Mbaraka Mwinshehe. Ikionekana ni mradi tishio barani Afrika. Nyerere aliambiwa huu mradi ni mkubwa mno kwake aachane nao. Sasa marais wote waliopita walijua hii habari wakafungia kabatini. Je ni jambo la busara kumwanbia JPM nae aachane nao?
Haupo serious mkuu
 
Akosombo hydroelectric Power station - Ghana - 1038MW - mwaka 1965 ilijengwa.
Aswan Power station - Egypt - 2100MW - mwaka 1970 ilijengwa.
Cahora bassa - Mozambique - 2075MW - mwaka 1975 ilijengwa.
Kidatu Power Station - Tanzania - 204MW - mwaka 1976 ilijengwa.

Unaanzaje kulaumu mabeberu wakati miaka hiyo hiyo unasema mabeberu walituzuia kuna hizo project zilifanyika, ok mabeberu walituzuia kujenga 4000MW tulishindwaje kujenga hata 1000MW? au 2000MW maana nchi tatu za kiafrica miaka hiyo hiyo ziliweza na nyingine ziliishia kwenye 800MW mpaka 900MW sijaziweka hapa ila ukifuatilia data utazipata.
Hapo sijaonyesha South Africa maana mimi naichukulia kama dunia nyingine iliyojengwa na Makaburu.

Kimsingi inatakiwa tuwe na vipaumbele kama Taifa ili tuepuke matumizi mengi ya rasimali hovyohovyo, Kama awamu ya nne ilishaanza na Gas kwa maana ya kujenga miundombinu ya Gas kwanini awamu ya Tano isiwekeze kwenye Gas kwa maana ya Full utilization ya hizo rasimali za Gas? Maana picha inayoonekana mradi wa 2000MW ukianza na awamu ya tano ikaondoka ukiwa bado haujaisha na awamu ya sita ikaja ikaona haufai irudi kwenye Gas au Coal tayari utasuasua kama tulivyoona kwenye Bandari ya Bagamoyo na Airport pale Dar es salaam.

KIPI KIPAUMBELE CHETU KWA SASA KAMA TAIFA?, JE TAIFA LINAHITAJI NINI KWA SASA CHA MUHIMU LISONGE?.

Back
Top Bottom