Bwawa la Nyerere tuliambiwa litawashwa leo mbona kimya

Tuliambiwa bwawa la Mwalimu Julias Nyerere lingewashwa siku ya leo

Lakin mpaka dakika hii sioni chochote wala update yoyote

Taree 25 ni leo na walisema leo ni leo

Rakini mpaka sasa naona kimya kulikoni
Siku bado haijaisha.

Unaonaje ukisubiri mpaka saa sita usiku au kesho pakikucha ndio uulize kwa sababu siku ya leo haijaisha!

Labda watatupa updates kabla ya saa sita usiku wa leo kwamba limewashwa au imeshindikana.
 
Wanasiasa ni Waongo lakini hawa wa hapa Tanzania wamezidi tunahitaji msamiati mpya.
Na bahati mbaya sana wanaujinga wa kale ule wa 'tengeneza tatizo alafu watatulie'

Mvua hamna, wakaja na mitambo ya umeme mibovu, mara ukame viwanda vimepunguza uzalishaji.

Mungu ni wa wote akawahaibisha ikanya ya kutosha, mara miwa imeharibika, mabwawa hayapati maji.

yote hii ni kutupeleka kwenye siasa za kampeni kwa kutumia hayo matatizo ili kutuhadaa.
 
Back
Top Bottom