Bwawa la Malavidavi....

Bwawa la Malavidavi....

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,355
Reaction score
111,634
998598_559441370786528_1792185989_n.jpg
 
Du!
Man-made nini?...kama ni la asili basi tukubali kwamba ardhi hii ni kama kompyuta kubwa!
 
Mkuu watu8,hili bwawa lipo nchi gani mimi na shemeji yako tukaogelee!
 
Last edited by a moderator:
nimeweka screen saver maana kitu cha ukweli hapo yaani huwezi pima
 
Ziwa hilo ni alimaarufu kama "Heart shaped Lake" na linapatikana huko Gilgit–Baltistan nchini Pakistan
watu8 karibu nikodi chopa hapa kuzunguka mitaa ya Babati na Ngorongoro kulitafuta aise
 
Last edited by a moderator:
Kama si jf nigejua hii kitu nitakupenda daima jf.
 
Back
Top Bottom