BWAWA LA KEMIKALI CHINI YA BAHARI

BWAWA LA KEMIKALI CHINI YA BAHARI

FM facts

Member
Joined
Mar 16, 2019
Posts
45
Reaction score
88
Bwawa hili Linaitwa 'The Jacuzzi Of Death' na Hakuna yeyote Anaefahamu Lina Kina Kirefu Kiasi Gani.

Lipo Katika Ghuba ya Mexico Katikati ya Bahari ya Atlantic (Chini ya Bahari), Ni Mpakani Kabisa mwa Marekani na Mexico, Usawa wa Mji wa Lousiana USA Karibu na Mji Mkuu wa Mexico, Mexico City. Unaweza Kusearch 'Gulf of Mexico' Ukajionea Picha.
images.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko Mexico si ndio kuna sehemu wanasema Radio Communications hazifanyi kazi ukiingia panaitwa Mapimí Silent Zone.
 
Bwawa hili Linaitwa 'The Jacuzzi Of Death' na Hakuna yeyote Anaefahamu Lina Kina Kirefu Kiasi Gani.

Lipo Katika Ghuba ya Mexico Katikati ya Bahari ya Atlantic (Chini ya Bahari), Ni Mpakani Kabisa mwa Marekani na Mexico, Usawa wa Mji wa Lousiana USA Karibu na Mji Mkuu wa Mexico, Mexico City. Unaweza Kusearch 'Gulf of Mexico' Ukajionea Picha.
View attachment 1053146

Sent using Jamii Forums mobile app
LIMEFANYAJE SASA...ELIMU YA KITANZANIA NADHANI KUNA SEHEMU INA SHIDA..UTAKUTA HUYU NI MSOMI WA LEVEL YA DEGREE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasubiri habari kamili!! Jamaa baada ya kupata taarifa ya ushindi wa taifa stars akachanganyikiwa kwa muda! Akiwa Ok atarudi na habari iliyokamilika! Let's hope!
 
Nadhani mdau haka kahabari kakatoa Instagram Mimi pia niikutana nako leo..wanasem hill bwawa lina kemikali Kwa maana hiyo kitu chochoto kiwe chuma au kiumbe hai chochote kikitupwa umo ndani kinayayuka..nadhani ndo maana anasema kina hakijulikana Kwa sababu hakuna means yoyote ya kipima kina chake...!
 
Back
Top Bottom