Huyu Magesa ni kada mkubwa wa chadema..
Kampuni ya clearing and forwarding.Nani anamjua huyu mzee hapa mjini jamani, Kampuni yake inaitwaje?
mmh! duh hizi hela hizi jamani
Wewe kama huwajui walimwengu ni bora usiamini kbs lakini hivi vitu vipo.Unaweza kuthibisha hilo?