Bwana Magesa akiwa na mtoto wake

Bwana Magesa akiwa na mtoto wake

Na kuanzia sasa kila utajiri alioupata kupitia chatu huyu utayeyuka wote. Ninasikia watu waliliua na kugawana vipande eti nao wakapate utajiri. Je ni kweli hayo? Nilisika Radio Wapo asubihi pata pata!!!
 
Inawezekana alimtoa kafara mzaliwa wake wa kwanza in exchange with python snake. Ili apate chatu mwingine itampasa sasa amtoe mkewe au mzazi wake.
Dunia ina mambo!
 
Nasikia alicheliewa kurudi home hiyo siku na kumfanya mtoto wake huyu wa kwanza kuanza kuhaha kutafuta babake hadi nje ya nyumba!!

attachment.php
 
HAYA MAJUMBA MAZURI YANA MAMBO!
ndo maana wengine tumeishia kupanga.
 
Interesting! Kwa hiyo wameemuua mtoto wake? Huwa tunayasikia kwa wakinga zaidi....sasa huyu mdjita vipi tena!
 
SIO KWELI

watu mnamzushia tu, ameshasema hajui chochote kuhusu huyo chatu

tuache ujinga ndio maana tunabaki kuwa taifa la watu maskini
 
Watanzania tunatia aibu kwa uchawi.

Subiri uone mwakani baada ya kuvunjwa Bunge mwezi July. 80% ya wabunge wa CCM utawakuta maeneo ya Mlingotini,Sumbawanga na Kigoma wakiwa kwenye "shughuli"


Sent from my iPad using JamiiForums
 
SIO KWELI

watu mnamzushia tu, ameshasema hajui chochote kuhusu huyo chatu

tuache ujinga ndio maana tunabaki kuwa taifa la watu maskini

Inaonekana iq yako ni above average ya mtanzania..
Mambumbumbu wanakalia mawazo ya kigiza giza tu muda wote
 
Inaonekana iq yako ni above average ya mtanzania..
Mambumbumbu wanakalia mawazo ya kigiza giza tu muda wote
Tulianza ukawa, ikaja escrow, wakajaribu kudivert na komba, diamond, machemli na sasa chatu bila kusahau dengue

washabiki humu wanatakiwa kumjua Magessa ni nani... Ana affiliations zipi, jirani alienda wapi baada ya kuambiwa amuue nyoka kwa risasi, habari ilianza kwa kusema aliyepigiwa simu ni mwanamke tena mwenye pesa nyingi sana na ana biashara jirani na hapo na alikuwepo kwenye biashara yake.... All of the sudden issue imekua magessa na sio mkewe

watanzania tuna IQ ndogo sana

,and easy mutant has the lowest of them all
 
Back
Top Bottom