Bwana Magesa akiwa na mtoto wake

Bwana Magesa akiwa na mtoto wake

alafu kama vile wanafanana,. Au macho yangu wakuu?
 
Dunia imekwisha watu hofu ya mungu ipo negative kbs.Sasa hivi fweza kwanza mengine kesho
 
Teh teh teh! dah kumbe huyu jamaa ni mchungaji duh!

No ni mzee wa kanisa alisafiri na mke kwenda tanga akaacha watoto wake tank la maji kwa rafiki yake anaitwa mzee nyongo nyumbani akamwacha mjomba wake home usiku lile joka likaenda kumla yule mjomba bahati yule mtoto akakimbia na kupiga kelele ...ukweli ni kuwa jamaa alijua usiku mjomba wake angemezwa na chatu ndo maana watoto wake akawaacha kwa rafiki yake. Marekebisho....alikuwa safarini dar
 
Kuna watu mbele ya pesa anaweza kufanya lolote..........
 
Nyie mnaamini kabisa mtu anaweza kugeuzwa chatu?!!
 
Nyie mnaamini kabisa mtu anaweza kugeuzwa chatu?!!

Hakuna kitu kinachoshindikana chini ya jua, kuna mkasa mmoja ivi aliimbaga bahati bukuku kuhusu mtoto ZINDUNA ambaye alipatikana kwa nguvu za giza, baadae alipoombewa akageuka chatu , kwa hiyo haya mambo yapo mkuu, hii ilitokea uko mwanza nasikia
 
Back
Top Bottom