Bwana Magesa akiwa na mtoto wake

Bwana Magesa akiwa na mtoto wake

Nyamayao mzima, najua uko Arusha si upande fast hapo sakina karibu na motel 2000 ukapaone...

Nyie watu wa kanda hyo mnatisha sana ha ha ha aisee kuna mgeni kasema anakuja leo kukufuata
 
Last edited by a moderator:
Hakuna kitu kinachoshindikana chini ya jua, kuna mkasa mmoja ivi aliimbaga bahati bukuku kuhusu mtoto ZINDUNA ambaye alipatikana kwa nguvu za giza, baadae alipoombewa akageuka chatu , kwa hiyo haya mambo yapo mkuu, hii ilitokea uko mwanza nasikia

hahahaaa, naona unatoa mfano mfu!
 
wapi sasa na kanda gani unaisemea ujue nayojea gamboshi lakini naishi Arusha angalia kijana nitakugeuza joka...

ila bora uwe joka la kiume angalau vp hyo mtoto wa hyo jamaa alikua me au ke
 
Utajiri katika mazingira ya ushirikina ni umaskini uliopitiliza na utumwa usioelezeka
 
Back
Top Bottom